KWADWO ABIMBOLA
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 762
- 1,598
Wewe sijui akili zako umetupa wapi. Yaaki kila uzi unacho-comment ni "magufuli hoyeee". Hata mashuleni ulikopita ulijaza tu nafasi ya madawati. Kwa uvivu huo ungepumzika tu nyumbani kipindi hicho ungekuwa umeokoa pesa za taifa na za waliozipoteza wakidhani wanasomesha mtu.Magufuli oyeeeeeee