Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Tena unasema unasoma kiswahili alafu unaandika hvi kama house girl anaechat na boda boda wake!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jf naomba ushauli mimi ninasoma HKL advance na nipo form six natesemea kuhitim hivi punde ni course gan nikasome chuo ambayo kidogo inamanufaa??kwa HKL??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tena unasema unasoma kiswahili alafu unaandika hvi kama house girl anaechat na boda boda wake!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn kuna tatzo kuuliza jaman
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana nahc ata uelewa nakuzid hizo unazoona ni typing error tuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
So what’s your opinion???Hisia tu hizo mdogo wangu. Hujaandika ujumbe wowote ambao hauna makosa, hata huu nao quote hapa una makosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Improve brother. Then go choose a course of your interest because non guarantees employement.So what’s your opinion???
Sent from my iPhone using JamiiForums
Typing error gan inarudiwa karibu comments zote, sema tu wew ni mbululaa.Pole sana nahc ata uelewa nakuzid hizo unazoona ni typing error tuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Si vema kuwa mkali. Utakosa mazuri.Out of your business
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa combination yako unaweza ukasoma udaktari mkuu, nashauri ukasomee udaktari au Engineering.So what’s your opinion???
Sent from my iPhone using JamiiForums