Search results

  1. dranx

    Naomba kujuzwa Chuo bora kwa kozi ya Accountancy kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii forums natumaini wote muwazima. Nataka kuhama kutoka T.I.A singida kuja kusoma Dar es salaam, je ni chuo gani kizuri Kwa course ya accountancy level ya diploma. Naombeni ushauri wenu.
  2. dranx

    Msaada wa kuchagua bank

    Habari zenu wadau. Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
  3. dranx

    Naombeni msaada wa kimawazo

    Habari zenu wana jamii, Nina rafiki yangu alikuwa anasoma Public Administration(Certificate) ameshindwa kufikisha course work kwenye masomo yote. Msaada wenu mtu kama huyu tunamsaidiaje?
  4. dranx

    Msaada: Natafuta iPhone 11 Pro

    Habari wana JamiiForums. Natafuta simu ya iPhone 11 Pro. kwa mwenye anajua wapi naweza kuipata kwa bei nzuri
  5. dranx

    Msaada wa website

    Habari zenu wadau Natafuta season inaitwa Constantine Naombeni msaada wenu website gani naeza download hii season
  6. dranx

    Msaada kwenye hii Course

    Habari zenu wana jamvi, natumaini wote mu wazima. Je, Kwa mtu aliyesoma Certificate in Record Management Degree anaenda kusoma Course gani? (Nimejaribu kutafuta sijaona Bachelor in Records Management)
  7. dranx

    Jinsi ya kuscreenshot kwenye PC

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba msaada jinsi ya kuscreenshot kwenye computer/PC. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  8. dranx

    Naombeni msaada wenu katika kuchagua faculty hizi

    Habari wana jamvi Naomba kuuliza kati ya accountancy, procurement na business administration ipi ina wigo mpana wa ajira?
  9. dranx

    Msaada kuhusu huduma ya NMB Chapchap

    Habari wanajamii. Nina account ya NMB Chapchap. Nataka nijue maximum deposit (kiasi cha juu kinachoruhusiwa kukaa kwenye account) ni shilingi ngapi? Na maximum withdrawal (kiasi cha juu ninachoweza kukitoa kwa wakati mmoja) ni shilingi ngapi? Natanguliza shukrani🙏🙏
  10. dranx

    Msaada wa haraka wakuu

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima Nimefika chuo jumatatu tunaanza usajili lakini mimi nimesahau result slip nyumbani. Ntafanyaje naombeni msaada wenu.
  11. dranx

    Msaada kwenye selection

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kuelekezwa Kwa watu walioapply certificate selection zao zinatoka lini ? Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  12. dranx

    Stylus pen

    Habari zenu wana jamvi Natafuta stylus pen ya Microsoft surface pro 3. Mwenye nayo au anaejua vinauzwa wapi Kwa hapa Dar naomba msaada. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  13. dranx

    Tanzania institute of accountancy

    Habari zenu wadau. Je siku ya kwenda kujisajili chuo ni lazima kwenda na birth certificate? Je ni vitu gani vingine vya muhimu wakati wa kujisajili chuo? Naombeni msaada wenu wadau.
  14. dranx

    Wazoefu wa online shopping(kikuu)

    Habari zenu wana jamvi Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi nipo Dar es salaam Kwa wazoefu waliowahi kutumia kikuu kuagiza baadhi ya bidhaa! Nataka na mimi niagize sasa nikiagiza bidhaa yangu ntaipata wapi Kwa hapa dar es salaam
  15. dranx

    Wazoefu wa Forex

    Habari zenu wadau Kwa wale ma-trader wa Forex. Je, kutrade Manual na kutrade kupitia EA (Expert Advisor) kipi kizuri? Na kina profit?
  16. dranx

    Kipato cha ziada

    Habari zenu wana jf . Mimi ni mwanachuo je naweza Fanya kazi gani online au wazo la biashara nnayoweza kufanya nikiwa chuo
  17. dranx

    Duka la kununua laptop

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote Nipo Dar es Salaam natafuta duka la kununua laptop lenye laptop bora Kwa bei nzuri
  18. dranx

    Uzoefu

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
  19. dranx

    Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online

    Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
  20. dranx

    Msaa wa kununua Laptop

    Habari zenu wana jamvi Kama kichwa kinavyosema hapo nataka kununua laptop Kwa ajili ya kujifunzia(chuo) Laptop gani n nzuri Na zinakaa Na charge muda mrefu. Budget yangu ni million Moja Natanguliza shukrani zangu
Back
Top Bottom