Inategemeana na Brand.. Ila hizo za kikuu sikushauri hasa hasa zenye size kubwaMkuu hivi hizi flash zenye storage kubwa huwa zina ufanisi kama Hard disk tulizozoea?View attachment 1690835View attachment 1690835
Habari zenu wana jamvi natumaini wote
Nipo dar es salaam natafuta duka la kununua laptop lenye laptop bora Kwa bei nzuri
Duka lipi pale mkuu?Nenda pale Kisutu/Morogoro rd hawana mshindani.
Usiagize flash kikuuMkuu hivi hizi flash zenye storage kubwa huwa zina ufanisi kama Hard disk tulizozoea?View attachment 1690835View attachment 1690835