Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima
Natafuta mtu mwenye uzoefu na maswala ya kununua vitu online
Nataka kuagiza laptop kutoka Amazon
Kama upo tayari njoo pm tuongee biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.