dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 189 Reaction score 84 Oct 30, 2019 #1 Habari wana jamvi Naomba kuuliza kati ya accountancy, procurement na business administration ipi ina wigo mpana wa ajira?
Habari wana jamvi Naomba kuuliza kati ya accountancy, procurement na business administration ipi ina wigo mpana wa ajira?
JaphetJacob Senior Member Joined Dec 11, 2015 Posts 106 Reaction score 121 Oct 30, 2019 #2 Zote Ajira ngumu We soma unayohisi utaweza kuimudu Zenye Ajira ni Faculties za Education esp Science Kule Primary school Kwa hiyo soma kupata maarifa ya kukabiliana na maisha
Zote Ajira ngumu We soma unayohisi utaweza kuimudu Zenye Ajira ni Faculties za Education esp Science Kule Primary school Kwa hiyo soma kupata maarifa ya kukabiliana na maisha
dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 189 Reaction score 84 Oct 30, 2019 Thread starter #3 JaphetJacob said: Zote Ajira ngumu We soma unayohisi utaweza kuimudu Zenye Ajira ni Faculties za Education esp Science Kule Primary school Kwa hiyo soma kupata maarifa ya kukabiliana na maisha Click to expand... 👍
JaphetJacob said: Zote Ajira ngumu We soma unayohisi utaweza kuimudu Zenye Ajira ni Faculties za Education esp Science Kule Primary school Kwa hiyo soma kupata maarifa ya kukabiliana na maisha Click to expand... 👍
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,074 Reaction score 16,641 Oct 31, 2019 #4 walau accountancy
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,059 Nov 1, 2019 #5 dranx said: Habari wana jamvi Naomba kuuliza kati ya accountancy, procurement na business administration ipi ina wigo mpana wa ajira? Click to expand... Businesses administration uje kula mema ya hii nchi
dranx said: Habari wana jamvi Naomba kuuliza kati ya accountancy, procurement na business administration ipi ina wigo mpana wa ajira? Click to expand... Businesses administration uje kula mema ya hii nchi