Jinsi ya kuscreenshot kwenye PC

Jinsi ya kuscreenshot kwenye PC

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba msaada jinsi ya kuscreenshot kwenye computer/PC.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Bonyeza Window button bila kuachia kisha prt sc. Window button+prt sc
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima
Naomba msaada jinsi ya kuscreenshot kwenye computer/pc
Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
unaweza tumia windows 10 xbox game console ipi ni window *Win + G* au

Download obs studio ndio huwa natumiaga at times.
 
Nenda kwenyesearch ya komputer. Andika sniping tool. Ikija itaonesha sehemu ya kuchukua picha than utapiga
 
Hakuna kama lightshot!
Screenshot_20191120-202156-picsay.jpeg
 
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba msaada jinsi ya kuscreenshot kwenye computer/PC.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
bonyeza kitufe cha kutolea mlango wa kuweka CD pamoja na button ya kuzima PC
 
Back
Top Bottom