Msaada kwenye selection

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
190
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kuelekezwa Kwa watu walioapply certificate selection zao zinatoka lini ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Si uingie profile yako kupitia nacte.!!!, bado hujachelewa.
Check, kama umechaguliwa ufanye maandalizi ya kwenda chuoni.. Wenye usongo na chuo washaanza kuripoti vyuoni weekend hii maana vyuo vinafunguliwa tar 15(keshokutwa)
 
Kuna mdogo wng pia ana tatizo iloo mwenye ufafanuzi wakuu kwa hawa certificate waliochaguliwa direct kutoka form 4!
 
Back
Top Bottom