Wazoefu wa online shopping(kikuu)

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
190
84
Habari zenu wana jamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi nipo Dar es salaam Kwa wazoefu waliowahi kutumia kikuu kuagiza baadhi ya bidhaa!
Nataka na mimi niagize sasa nikiagiza bidhaa yangu ntaipata wapi Kwa hapa dar es salaam
 
Lazima uwe na App yao, ukisha jisajili utapata maelekezo toka kwao
Hila bidhaa itakufikia ndan y mwezi 1....
 
Nimeletewa juzi huu mzigo
Screenshot_20190905-053719.jpeg
 
Je hapa Dar wana ofisi? Niliona unatakiwa ulipie oda kabla hawajaleta. Sasa je ikitokea nimelipia na mzigo haukuletwa wapi naweza peleka malalamiko yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom