We komaaa we, Kuna hiyo Moja Kuna mbabu anabaka wanawake then anawauwa kikatili Kuna jamaa alikuja kumtembezea kichapo Cha paka mwizi unaweza uka pause ili umuombee jamaa msamaha, sema jina ndio nimesahau.
Huyu ndio Jesca aisee!🤔🥺 Kuna sehemu niliwah kutana nae tukaongea kwa muda mrefu kidogo sikumbuki hata kama nilimuuliza hata jina mpaka namuona kwenye picha hapa ndio nikakumbuka anyways ukikutana nae nivigumu sana ku notice ndio Jesca wa hayati JPM nilichopenda kutoka kwake hakuonesha majivuno...
Twende kitaalamu Ml 5 ni kama 21.8% kwenye Mil 30 sasa kwa nature ya biashara nyingi za hapa nchini biashara inayoweza kukupa faida ya asilimia hizo kulingana na mtaji uliowekeza Absolutely ni biashara ya chakula ila Cha kuzingatia ni eneo la biashara na namna utakavyoiweka biashara yako. Yangu...
Kila mtu Aishi kwa mtazamo wake maadam hakufanyii makosa mwache afanye vile anaona yeye ni sahihi na inampa furaha...ifike wakati tuache ku deal with other people stuff. Huu ni ujinga kiwango Cha five star
Wanandoa waliojulikana kwa majina ya John Hennessee, mwenye umri wa miaka 76 na mkewe Melody Hennessee, mwenye umri wa miaka 64, wameamua kutumia muda wa maisha yao yote wakisafiri katika sehemu mbalimbali ulimwenguni kwa kutumia usafiri wa meli, ambapo walibainisha kuwa miaka mitatu iliyopita...
Ila Big amenichekesha sana.....Ila Kuna jambo kubwa la kujifunza hapa, ukiingia kwenye ofisi tupunguze ujuaji, kujifanya unajua kila kitu...mwisho wa siku ninkuwngukia pua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.