Search results

  1. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakamalia tumezisha tamaa sana ya hela ya kanjii.. Tuchukue Odds chache zenye low risk Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  2. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Parimatch Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  3. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Upo sahihi mkamaria.. Just unaweka match itoe na Over 1.5 then weka mpunga halafu unaenda kulala Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  4. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe na amani.. Msubiri tu madrid usiwe na papara na hiyo cashout.. Madrid hajawahi kuacha linapokuja suala la knockout
  5. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema hawa jamaa wanakismart sana aisee Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  6. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaani mnaona moto anaopelekewa Madrid!!? Hatari tupu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  7. Degelingi_One

    Annual Increment

    Wataalamu na wenye uelewa kidogo wa hili suala. Hili ongezeko huwa linakuwaje 1. Ni asilimia ngapi!?? 2. FlatRate kwa watumishi wote!?? 3. Kulingana na madaraja ya watumishi!?? 4. Au atakavyoamua Rais!?? Nawasilisha
  8. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sahihi kabisaa.. Betting hainaga sure result Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  9. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kabisaa.. Tuliozoea InPlay or Live haya matreni tunayaogopaga sana
  10. Degelingi_One

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio kitoto mzee.. Janji mchawi aisee Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  11. Degelingi_One

    Natafuta soko la kamba za katani (sisal ropes & twines)

    Ila mchina hatarii.. Kaharibu soko la kamba za katani ameleta kamba za plastic na sokoni zinatembea balaa
  12. Degelingi_One

    Kuna ukweli wowote kati ya kuwahi kuamka na kupata mafanikio

    Mmmh!!! kama unasomeka ivi.. Ila unakuja unatoka. utajiri unasiri nzito sana nyuma yake na kuamka mapema haitoshi
  13. Degelingi_One

    Watu gani wanaotakiwa kutokosekana kwenye simu au circle yako

    Mazingira au kwa kimombo "Nature" ndio itakayokuchagulia uwe na mawasiliano na nani.
  14. Degelingi_One

    PIKIPIKI: Bajaj Boxer 150 vs TVS 150

    Wasalaam wakuu humu ndani, Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki. Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa. Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake. Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
  15. Degelingi_One

    Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Kwakweli huyu mwamba yupo serious na kazi.. Oka na mtasubiri ni hatarii🙌 🙌🙌
  16. Degelingi_One

    Diamond Platnumz, hujui kuvaa

    Nyuzi kama hizi bila picha ni chai tuu
  17. Degelingi_One

    TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Poleni wanafamilia na wafanyakazi wote wa IPP Media kwa kuondokewa na mpendwa wenu
Back
Top Bottom