Search results

  1. Wiwachu

    Ushauri: Mbao nilizotumia kupaua nyumba zinaliwa na wadudu, nipake dawa gani kuzinusuru?

    Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za wadudu kama wanakula mbao asubuhi pia nikiamka naona kuna uchafu wa mbao kuliwa kama unga unga...
  2. Wiwachu

    INAUZWA Vitu hivi vinauzwa kwa bei nafuu, friji, pasi, Suwboofer, king'amzi cha startimes, feni na DVD player

    NASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WENU VITU KARIBU VYOTE VIMESHAUZWA KASORO FENI YA UKUTANI TU NDO ILIYOBAKI Habari za mda huu wajameni, nadhani mko poa baada ya pasaka, leo nakuja kwenu kama kichwa cha mada kinavojieleza, mimi baada ya kuhamia nyumba ya isiyo na umeme kwa sasa. Vitu vyenyewe ni...
  3. Wiwachu

    Hivi kuna Phone kama hii ya wireless yenye fm Radio?

    Habari za mda huu ndugu zangu, najua mko poa kuelekea kusherehekea sikuu ya Xmas na Mwaka mpya Wakuu kama kichwa cha uzi kinavojieleza naomba kujua je,!? Kuna hizi zinavoonekana kweny picha [emoji116][emoji116]phone za wireless za kuvaa shingoni ndogo ndogo zenye kunasa fm radio maana nyingi...
  4. Wiwachu

    Mabati ya msauzi yanauzwa kwa bei sawa na bure. Njoo usipitwe

    MABATI SOLD OUT BIASHARA IMESHA FANYIKA YAANI MABATI TAYARI YAMESHANUNULIWA NAWASHUKURU WOTE NA SAMAHANI KWA USUMBUFU, BIASHARA NAZOFANYA NO RONGO RONGO SIKU NYINGINE CHANGAMKA Mabati yanauzwa kwa bei ya kutupa ni ya migongo mipana maarufu mabati ya msauzi yapo pc12 urefu upana cm85 gaji30 ni...
  5. Wiwachu

    Hivi VPN inaweza kuongeza speed ya internet?

    Wakuu samahan hivi vpn inaweza kuboost speed ya internet maana huku tz net za mitandao mingi ziko slow kama mnavojua maana nyie sio wageni wa nchi hii, najua watu wengi wanatumia vpn kwa ajili ya kupata ku access net hasa baada ya tcra kufanya yao na wengine kwa ajili ya usalama yaani kuficha...
  6. Wiwachu

    Msaada wenu: Instagram yangu nikifollow mtu inaji unfollow

    Habari za mda huu wajameni, naombeni msaada wenu wa hali na mali, simu yangu nikiingia Instagram nikamfollw mtu inaji unfollow ndani ya kama dakika 1 baadae, ni wapi nakwama au kuna masherti katika hili na je inatakiwa kufollow watu wangapi kwa kila baada ya mda gani? Nahitaji kuwa follow baadhi...
  7. Wiwachu

    Naomba msaada wenu ; Simu inaandika maneno haya kwa rangi nyekundu "Custom Binary Bloked by FRP Lock" yana maana gani?!

    Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ya Samsung j7 neo ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka nimsaidie kuiangalia kama inafaa anunue ila baada ya kuweika chaji inaonyesha kwa kipo...
  8. Wiwachu

    Kuna simu nataka kununua inaandika maneno haya " Binary desturi iliyofungwa na FRP Lock" inamaana gani

    Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka nimsaidie kuiangalia kama inafaa anunue ila baada ya kuweika chaji inaonyesha kwa kipo pup juu ya screen...
  9. Wiwachu

    Natafuta pikipiki ya mkataba ya kuendesha

    Wakuu kama ilivo ada nawasalimu wote baada ya salam husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza mimi ni baba wa mke mmoja na watoto 2 wote wanasoma, naishi Dar maeneo ya Tabata nina mali zisizo hamishika kama kiwanja chenye pagara ambalo bado kuezeka tu cha vymba vi3 maeneo ya Kifuru. Nina...
  10. Wiwachu

    Fahamu Jinsi ya kupata chanel za Dstv kweny simu yoyote hata iPhone na computer yoyote

    JINSI YA KUTUMIA AU KUANGALIA CHANNEL ZA DSTV KWENYE SIMU YAKO YA SMARTPHONE [emoji336] AMA COMPUTER [emoji985] NA LAPTOP IWE YA IPHONE, IPAD, TABLET HATA KAMA HUNA KING'AMZI CHA DSTV Kwanza kabisaa kama una kisimbuzi, king'amzi cha Dstv jisajili na Dstv kwa kuingiza namba za smart and za Dstv...
  11. Wiwachu

    App ya Azam Tv Max leo haifanyi kazi kwenye simu yangu, vipi wewe kwako inafanya kazi?

    Habari za muda huu wajameni natumai mko salama kabisa nami ni mwingi wa afya. Baada ya salamu husika na kichwa cha uzi huu hapo juu. Dah leo app ya Azam Tv Max kwangu nikiifungua inaniandikia hivi sijui tatizo ni nini au hata kwenu haifunguki maana nataka kutazama mechi ya Simba na baaadae ya...
  12. Wiwachu

    Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

    Wakuu, Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli. Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini? Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke. Wewe...
  13. Wiwachu

    Baraza lipo ila wasanii wanaishi uani.

    Nmemukuu maneno ktk wimbo wa rostam... Ila naanz kuamini hakuna baraza la sanaa kuna baraza la uani.
Back
Top Bottom