Kuna simu nataka kununua inaandika maneno haya " Binary desturi iliyofungwa na FRP Lock" inamaana gani

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
436
500
Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka nimsaidie kuiangalia kama inafaa anunue ila baada ya kuweika chaji inaonyesha kwa kipo pup juu ya screen maneno haya yakiwa na rangi nyekundu huku inaingiza chaji

ila cha ajabu naiwasha haitaki kuwaka wakat iko kweny chaji na inaingiza inaishia kuandika Samsung galaxy J7 Neo tu ila haimaliziki hivi inaweza kuwa na tatizo gani hasa wakuu naombeni msaada wenu nimuambiaje huyo mtu anaetaka kununua!? Asanteni sana karibuni. Kwa michango yenu

IMG_20200322_211007.jpeg
20200322_212048.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
436
500
Asanteni sana watu wote tayar nmemuambia aachane nayo kama anajipenda ila kma hajali basi anaweza kuifurashi kisha wakafanya biashara
 

gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,242
2,000
Simu alikosea hatua ku restore kwa kutumia manual, huwez tumia hadi iflashiwe na kuwekwa file upya ndo itawaka

Kama sio yako achana nayo utambiwa ilipotea na HUMMAR or contena

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom