Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 926
Habari za mda huu wajameni, naombeni msaada wenu wa hali na mali, simu yangu nikiingia Instagram nikamfollw mtu inaji unfollow ndani ya kama dakika 1 baadae, ni wapi nakwama au kuna masherti katika hili na je inatakiwa kufollow watu wangapi kwa kila baada ya mda gani? Nahitaji kuwa follow baadhi ya watu ili nisipitwe na habari mbali mbali lakin naishia kuboreka tu, tatizo hili lina mda mrefu nmetumia simu tofaut tofaut ikiwemo Samsung ila wapi na sasa natumia infinix hot 9.
Je, hii ni hali ya kawaida au ni tatizo naombeni mwenye alishapata shida kama hii au anaefahamu solution anisaidie kutatua nitashukuru sana eana jamvi kama nitapata utatuzi?
Karibuni sana.
Je, hii ni hali ya kawaida au ni tatizo naombeni mwenye alishapata shida kama hii au anaefahamu solution anisaidie kutatua nitashukuru sana eana jamvi kama nitapata utatuzi?
Karibuni sana.