Search results

  1. Mathayo Fungo

    Apple hawana Wakala/Store Tanzania

    Kuna hawa wanaitwa Tech360 wanajiita "Apple authorised resellers". .. unawazungumziaje? https://www.instagram.com/thetech360?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==
  2. Mathayo Fungo

    Je, tatizo la wananchi ni kutokuwepo kwa Sheria ya Huduma za Afya au gharama za kuhudumiwa? (Jicho langu)

    Jicho Langu linaona kwamba, Serikali imefanya mambo mengi katika kuboresha huduma za afya hapa nchini tangu tupate uhuru mwaka 1961. Miaka ya 1960 hadi 1990 Serikali ilikuwa inatoa huduma za kijamii bure ikiwemo huduma za afya. Ilipofika miaka ya 1990 kama ilivyo katika mataifa mengine duniani...
  3. Mathayo Fungo

    Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa kawaida na masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 06/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani...
  4. Mathayo Fungo

    Yanayosemwa kuhusu SHIB-NSSF na Bima ya Afya

    Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani unabaini unafanyika makusudi ili kuendelea kunufaisha wachache na kuangamiza wengi. Habari ya mjini...
  5. Mathayo Fungo

    Mahakama ya Mwanzo Tandahimba ichunguzwe. Inaonesha rushwa husaidia kutoa uamuzi wa kesi

    Evidence hii imebaki story. . .hakuna concrete vithibitisho zaidi ya word of mouth. Mahakama works beyond that (beyond reasonable doubt)
  6. Mathayo Fungo

    Wizara ya Afya: Barakoa sasa lazima kwenye mikusanyiko

    Hivi we jamaa unaijua lockdown kweli au unatamani vitu usivyovijua. . . .miezi mitatu unadhani mchezo. Najua utasema mbona Kenya wanaweza. Usipende kuiga vitu kwasababu fulani kafanya. . .bora ujilockdown mwenyewe tu kama ndio unadhani utakuwa salama zaidi
  7. Mathayo Fungo

    TAFAKURI: Kwanini Viongozi wa CHADEMA wanakwenda Marekani na Ubelgiji?

    Hawa jamaa wanakimbia kwa mengi. . . kwanza ni aibu ya kushindwa ataishije kwenye jamii?? Aibu ya kuona watanzania wanaendelea na maisha baada ya uchaguzi washachoshwa na harakati uchwara za kuwataka waandamane. Kikubwa ni kwamba hawa jamaa hawana mapenzi na familia zao kwa kuziingiza kwenye...
  8. Mathayo Fungo

    Ukweli kuhusu utata wa kifo cha Abubakar Khamis Bakar mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba kwa tiketi ya ACT Wazalendo

    Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
  9. Mathayo Fungo

    Sababu za Wanasiasa kutaka kutoroka nchini kwa madai ya kuomba hifadhi

    Kuna hili suala la madeni nalo ni tatizo ambalo litawasumbua sana hawa jamaa
  10. Mathayo Fungo

    Sababu za Wanasiasa kutaka kutoroka nchini kwa madai ya kuomba hifadhi

    jamaa anateseka na uchaguzi mpaka leo wakati watu saiv wanaendelea na maisha yao kama kawaida
  11. Mathayo Fungo

    Sababu za Wanasiasa kutaka kutoroka nchini kwa madai ya kuomba hifadhi

    Watakuwa bado wanachagua nchi hawa
  12. Mathayo Fungo

    Sababu za Wanasiasa kutaka kutoroka nchini kwa madai ya kuomba hifadhi

    Na Christopher Mhando. Wanasiasa wa upinzani nchini wameshatekwa na kuwa corrupted na mabeberu kwa vipande vidogo vya fedha. Haihitaji kupiga ramli kutambua suala hili kwa sababu liko wazi kabisa. ili kuwajua vizuri hawa binadamu, fahamu mambo yafuatayo: Kwanza, suala la uraia wa Lissu liko...
  13. Mathayo Fungo

    Famous Quotes by Julius Nyerere

    Hizi ni baadhi tu ya nukuu hizo: Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya taifa jingine ; hakuna watu kwa ajili ya watu wengine. ( Kutoka 'Ujumbe wa amani wa mwaka mpya ,Tanzania, Januari 1968). Watu wanapaswa kuhusishwa, ili kufikia maendeleo ya kweli. (Julius Kambarage...
  14. Mathayo Fungo

    Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

    Imeonekana Video Fupi inayozunguka ikionyesha Mabishano kati ya Freeman Mbowe na OCD wilaya ya Hai. Ili Kutenda Haki tujiulize na Kujibu maswali machache: 1. Je, Freeman Mbowe alipaswa kuwepo pale kwa mujibu wa ratiba ya Tume?bila shaka hakupaswa ndio maana anaonekana akisema hata Rais akipita...
  15. Mathayo Fungo

    Wakili Robert Amsterdam ni nani?

    Amsterdam anatafuta biashara tu. . . .akuze profile yake. His intensions are purely on business
  16. Mathayo Fungo

    Wakili Robert Amsterdam ni nani?

    ---------------‐------ I am writing this article as an African. Diaspora alerting the African Union to be aware with Robert Amsterdam who claims to be an international lawyer and Political Adviser. Amsterdam has started to set a violence strategy in African countries heading to their elections...
  17. Mathayo Fungo

    Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif Hamad unataka kutugawa Watanzania kwa faida ya nani?

    Huu mgawanyiko anaoutaka ni kwa faida yake binafsi. . .tukivunja muungano Wazanzibari watapata tabu zaidi kuliko Watanganyika
Back
Top Bottom