Nape na Msigwa ingilieni hili suala, vijana walipwe japo Mil 1 kwa kila mmoja.
Kama mlivyokuwa active kwenye tuzo za wasanii, tambueni kwamba mpira pia ni sanaa.
Nasema, walipwe pesa zao
Katika Taaluma ya Sheria, unafungua kesi ngumu anbayo itakutangaza kibiashara ili kuvuta wateja wa kesi za kawaida. Hata ukishindwa na jamhuri lakini unapata faida ya kujitangaza na kufahamika kwa wadau
Tatizo ni kumwamini Onana kuliko Chama. Nafasi nyingi zinapotea kwa uzubavu wa Onana. Sub ya Mikson dakika za majeruhi, angeingia Kenedy Wilson Juma ili kuimarisha ukuta
Wahindi ni wasimamizi wazuri. Biashara zao tangu babu hadi mjukuu hazifi. Akiuza penseli anadumu na hiyo biashara na kuibobea kwelikweli.
Sisi wabongo, machungwa yakimlipa, anaanzisha mapapai, baadae ananunua bodaboda kisha Hiace alaf hiace ikifa ndo mwisho wa biashara.
Wao huendeleza...
Nenda moja kwa moja utumishi. Muombe PS akuruhusu kuonana na Mh. Waziri, ingawa mtendaji Mkuu ni Katibu Mkuu na anaweza kukusaidia.
Pia ukifika Dodoma ukakwama kumuona, usirudi patupu. Wapo wakurugenzi wa kila nyanja. Pale Mtumba na UDOM pia.
Tatizo lako linaweza kutatuliwa na Wasaidizi wa...
Hongera Kijana Yeriko Nyerere, kelele zisikurudishe nyuma. Andaa toleo la pili la UJASUSI WA KIELIMU, UJUZI NA TEKINOLOJIA. UTHUBUTU NI VITENDO SIO MANENO
1. Laki tatu ni mtaji tosha. Tafuta ofisi ambayo hawana mgahawa wala huduma ya chakula. Ongea na HR wao, chukua order ya chai na chakula. Unakuwa na jiko pamoja na vyombo. Asbuhi unawapelekea chai na mchana chakula.
2. Unaweza pia kuanzisha kijiwe cha supu na chapati
3. Karanga pia sio haba...
Ukiwa huna taarifa, usiudanganye umma. Makonda aliteuliwa na JPM kuwa Mkuu wa mkoa na huyo huyo ndiye aliyemtengua. Hakuna awamu ilifuata tofauti na hii ya sasa iliyomteua tena.
Ngoja kijana aimarishe chama na kukirejeshea uhai.
Kampeni za makonda hufanikiwa sana
1. Walimu wa Dar kutolipa nauli...
Na huo ndio Ukweli, tena sio Kanda ya Ziwa, kila kanda atakayokanyaga, mtampenda tu. Anajua namna ya kuigusa mioyo ya watanzania.
Kwa sasa Makonda ndiye Rais Kivuli.
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.
Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.