Physical appearance: Mrefu
mweusi au brown asiwe too thin. Anizidi umri not less than 4 years.
Others: Anipende kweli awe ameokoka awe na elimu kuaanzia shahada na awe
na pesa za kutosha. Ila cha muhimu he should know how to handle his family
mara 100 ukasikilize neno la uzima kuliko kwenda kwa diamond. wewe toa sadaka yako kwa Mungu kama yeye ni tapeli hukumu i juu yake ila wewe utakuwa umetenda wajibu wako
Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku.
Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently.
Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake
Leo nimeitwa na DVCAA nikapewa barua kuwa jumanne niende kwenye kikao cha Examination Comittee.
Semister ya pili sikufanya mitihan kwan chuo chetu hakiruhusu mtu kufanya mitihani unless hadaiwi.
Sasa mimi nilikuwa nadaiwa hivyo sikufanya mitihani
Nahisi watanifukuza chuo kwa sababu hiyo ohh...
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.