mama lubango Member Joined Aug 16, 2011 Posts 56 Reaction score 8 Apr 25, 2013 #1 Kuna anaefaham sehemu yoyote ambayo naweza kuwapata wale wamasai wanaosokota nywele kwa rasta?
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,314 Apr 25, 2013 #2 mama lubango said: Kuna anaefaham sehemu yoyote ambayo naweza kuwapata wale wamasai wanaosokota nywele kwa rasta? Click to expand... Nenda daraja la libert karibu na daraja la stend ya dampo,au makoroboi karibu na Tanesco,ndio Mwenge ya Mwanza.
mama lubango said: Kuna anaefaham sehemu yoyote ambayo naweza kuwapata wale wamasai wanaosokota nywele kwa rasta? Click to expand... Nenda daraja la libert karibu na daraja la stend ya dampo,au makoroboi karibu na Tanesco,ndio Mwenge ya Mwanza.