Search results

  1. AMINATA 9

    mume hatoi unyumba

    nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital.... mara ya kwanza alikua anarudi sa moja au akichelewa sana sa mbili ila alikua hazidishi hapo......miezi 6...
  2. AMINATA 9

    Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

    unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli
  3. AMINATA 9

    Niliwamiseje?

    jamani wapendwa niliwamiss sana .nashukuru kwa wale waliokuwa wamenimiss na kunitakia heri na fanaka. wiki tatu hizi nitazitumia kupitia thread zilizopita ili niji update
  4. AMINATA 9

    hii ni kwa ajili yako excellent uuanze mwaka mpya na cheko

    Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika kwake akaanza kupanda ngazi kuelekea gorofa la pili ilipo chumba chake yeye na mkewe,akakuta kuna...
  5. AMINATA 9

    Mapenzi mabaya jamani loh!

    Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe alikuwa anawachanganya mtu na shost yake wote wanafanya kazi sehemu moja,sasa wakati amsindikiza huyo...
  6. AMINATA 9

    mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

    ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,
  7. AMINATA 9

    mwanamke usafi jamani na sio tu wewe binafsi ni hadi nyumba unayoishi jamani

    PTUUUUUU hEBU TEMENI MATE KWANZA... Hivi mwanamke ni kuvaa tu nakupendeza? yaan kuna mdada maridhawa mrembo tena mpana mijisifu kibao kuna siku nilikuwa kwake twapiga story mbili tatu hamadiii kojo likanibana nikaomba kwenda washingroom jaman jaman jaman yaaan tena kwa mapana akanambia...
  8. AMINATA 9

    Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

    ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!! ... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa...
  9. AMINATA 9

    Msaada wa haraka jamani

    nina rafiki yangu yuko chuo kimoja maarufu hapo tz ana mvulana wake na yy pia ni mwanafunzi ila chuo ikoiko anampenda sana mvulana wake ila hamuamini sana kwasababu ya vitendo vya huyo bwana kuonesha kua ana wasichana wengine anawasiliana nao fb kupita kiasi na some times ktk simu pia ila kila...
  10. AMINATA 9

    mtu akikuambia utani wa ivi utamfanyaje loh!

    hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa kanifuraisha sana
  11. AMINATA 9

    Dangerously in Love with u ........

    http://youtu.be/sZmpsVLMqik Ooh baby I love the way you make me feel It slows down time Come in my bedroom and turn off the lights You whisper softly in my ear Makes me unwind...
  12. AMINATA 9

    Hivi Obama naye ni shoga?

    hii foto nimeioa some where cjabilivu mai aizi kumbe ndio mana wanatetea ujinga loh!
  13. AMINATA 9

    nisaidieni plzzzzzz

    nasikia maumivu sana moyoni mwangu na ni makali sana cwez kujizuia nahisi kama moyo unavuja damu ndani kwa maumivu niliyonayo...........hali hii hunitokea kila nikipata kitu chochote cha kunishtua .........niliwai kwenda medical wakaniambia cna tatizo lolote ila mm maumivu nayackia ndani ya moyo...
  14. AMINATA 9

    legezo la ticha

    mwalimu ni mwana kinoma yani hadi raha mpaka chichogoni.......walimi kama hawa mm nawamind kinoma yani mana hachapi waala nn na akikuita utasiki oyoooooo jibu swali kama vipi usinizingue
  15. AMINATA 9

    when bride is fed up......

    .. ..............loh!
  16. AMINATA 9

    jinsi mapacha wanavofanya ili kutoshare magirl wao)))))

    hahaaaaaaaaaaa crazy twin
  17. AMINATA 9

    hii kali sasa loh!

    ingekuaje kama mungu angekua anajibu baadhi ya watu namna hii loh!
  18. AMINATA 9

    Mulika mwiziiiiiiiiiii

    watatu chini ya mvungu wawili alishawatoa nje ya dirisha wawili juu ya dar mmoja nyuma ya kitanda na mwingine ndio kamfunikia ktk kishuka duh
  19. AMINATA 9

    why girls are so..............

    ))))))))))
  20. AMINATA 9

    he is the one who killed ur father

    kfc....
Back
Top Bottom