mwanamke reception babuuuuuuuuuuu

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
[h=6]ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,[/h]
 
Reception ni sehemu ya kupita!!

Shepu (nyumba, chumba,sebule) ndipo watu wanapokaa. Poleni!!
 
hi Aminata!
Reception,kitchen,bedroom,bapa,mbinuko,
Mwisho wa siku mwanamke anapendwa kwa uzuri wake wa ndani.
 
hi Aminata!
Reception,kitchen,bedroom,bapa,mbinuko,
Mwisho wa siku mwanamke anapendwa kwa uzuri wake wa ndani.
nilikua namsikiliza huyu isha mashauzi wimbo wake loh! nimechekajeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reception ni sehemu ya kupita!!

Shepu (nyumba, chumba,sebule) ndipo watu wanapokaa. Poleni!!
sasa ndio anakuambiaje isha mashauzi mwanamke sura mana hata ukiwa na umbo zuri utataka mwenzio awe nawe kwa bed huku kavaa sun glass hata kama ni night kali mradi tu asikuone sura ila mzigo anapiga ka kawa
 
Na ukiwa na sura nzuri pekee atataka akuangalie tu.
 
....Mwanamke jicho banaa

k-eyes-faces-femdom-Faces-and-Eyes-2-style-moudy-women-beautiful-2-arabic-eyes_large.jpg
 
Na ukiwa na sura nzuri pekee atataka akuangalie tu.
ndio walivo ila ka bapa ya nn kugeuka nyuma kukuangalia akajikwaa bure kisa kitu gani.............inatakiwa hata mtu ukijikwaa ukimuonesha mtu kua nimejikwaa koz ya kitu iki na yy anasema eeh kweli...............mana kuna watu akiwa anaenda na kurudi hata huoni tofauti iko wapi
 
Back
Top Bottom