nisaidieni plzzzzzz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni plzzzzzz

Discussion in 'JF Doctor' started by AMINATA 9, Nov 5, 2011.

 1. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nasikia maumivu sana moyoni mwangu na ni makali sana cwez kujizuia nahisi kama moyo unavuja damu ndani kwa maumivu niliyonayo...........hali hii hunitokea kila nikipata kitu chochote cha kunishtua .........niliwai kwenda medical wakaniambia cna tatizo lolote ila mm maumivu nayackia ndani ya moyo wangu makali sana na leo yamezidi ni makali mnoooooooooo..........i cant take it any more
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
  Nenda haraka hospitali wala huna haja ya kusubiri ushauri hapa jukwaani. Pole sana
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Heee! Mpendwa pole jamani.
  Kuna member humu anaitwa riwa ni dokta, jaribu kumPM labda aweza kupa first aid. Pole mamito, usiache kwenda hosp.
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thanx ila nilishawai kufanyiwa check up ila wakaniambia cn tatizo wakati mm naumia sana ndani kiasi kwamba i cant walk ikianza kuniuma hii kitu
   
 5. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thanx mpz wacha ni mp sasaivi coz rafiki yangu eti kaniambia ninywe wine ili nilale nisiusikie ukiuma loh!
   
 6. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nilishaenda wameniambia hawaoni tatizo so nijaribu kujicontrol eti kwakujipa furaha mda wote sasa ndio cwez mana mauzi ni mengi yamemzunguka mwanadamu kila kukicha sasa mm uzi moja tu mgonjwa taabani ndio mana naomba maushauri ya mm kuweza kujicontrol.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  tafuta cardiologist umueleze...
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  dah! Sitokuuzi tena mpenzi wangu.
  Jitahidi kuwapuuzia wanaoleta kero.
   
 9. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thanx vr much
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unahitaji kupokea ushauri wa wataalam aminata. Huyo rafiki yako asije akakuzimisha bure.
   
 11. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ishu iko hapo kwenye kupuuza ndio cwez an that wats cost me every day ma love alfu huyo riwa mbona cmuoni mwe
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  sio kila daktari ni daktari
  tafuta wataalamu wa moyo,ndo wanaitwa cardiologist
   
 13. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Poyeee, Punguza mawazo na wivu! Loh!
   
 14. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i think i need a therapist sasa ndio naitaji doctor mmoja ajitolee hapa kua therapy wangu
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ukishaandika pm kwenye receiver andika Riwa.
  Kwahiyo mtu akikuuzi huwa unafanyaje? (inabidi tufundishane namna ya kupuuzia kero) lol.
   
 16. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ndio hao mkuu wameniambia cna tatizo ila niwe naripot kwao kila bada ya wiki moja mara moja sasa wakati nasubiria ndio maumivu na yenyewe yako bado an i cant do nothing
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pole njoo hapa nikutibu mpenzi
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nifundishe tu mpz mana cwez hua unauma ila hata mtu akinistua kidogo tu inachukua ka cku 4 ivi maumivu kuisha sasa sijui ni kwann na cwez kukaa mbali na watu ili niepukane na kero izo na cwez kuishi dunia ya mm mwenyewe,kun akitu ilinitokea 4miaka iliyopita sasa cjui ndio hadi leo inaleta maeffect,ndio ivo hata ukidongosha kikombe mm inachukua mda sana yale maumivu ya msituko wa moyo kuondoka
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  asante mzp haya anza na kunifundisha jinsi ya mm kuufanya muoyo wangu urelax to ze maximum
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole Aminata......
   
Loading...