Mapenzi mabaya jamani loh!

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
[h=6]Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe alikuwa anawachanganya mtu na shost yake wote wanafanya kazi sehemu moja,sasa wakati amsindikiza huyo kimada kumbe shost yake akawaona akasubiri jamaa wakati anarudi shost akakodi boda boda na kuanza kumfatilia yule mjeda alipo mkaribia akamchoma kisu cha tumbo maskini utumbo wote nje,mjeda akakichomoa shost akakiokota akamchoma mgongoni jamni yule dada katili sana mjeda kafa hivi hivi huku familia ikijua kaenda job wameambulia maiti amana.Hii imetokea jana![/h]
 
jamani kupenda kubaya mpaka mtu anamchoma mwenzie kisu tena anarudia mara ya pili loh!..................nimetoka kuongea na mamdogo wangu anaishi maeneo ya huko vingunguti nimeshtukajeeeeeeeeeeeeee.
RIP MJEDA
 
kimada muuaji kakamatwa yuko buguruni anasubiri kwenda mahakamani yaani atajuta kweli kwanza mpaka hukumu ipite wanajeshi watamla nyama maana wanatabia ya kuhitaji maelezo basi atajuta kila anapoitwa kuhojiwa lazima akamuliwe damu.................kwanza hakuna cha kuitwa hapo tena ndio mazima lupango ............masikini mke wa mjeda namuoneaje hurumaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni mimi mtangazaji wako kutoka Udaku FM.

Kaaazi kweli kweli. Pole kwa wahusika wote.
 
Ni mimi mtangazaji wako kutoka Udaku FM.

Kaaazi kweli kweli. Pole kwa wahusika wote.
alafu ww huu sio udaku na real.............mana naona kila kitu kwako unaona udaku mweh!
mjeda wawatu hajauona mwaka jamani! kweli kuna kimada na limada naona yy alikutaka na boss wao sasa ndio akamfanya kimada wake matokeo yake ndio hayo chacha
 
Style ya utoaji habari.

Naongeza POLE nyingine.
 
mshahara wa dhambi ni mauti
 
Style ya utoaji habari.

Naongeza POLE nyingine.
nilijua lazima urudi.............. imageskkk.jpg
 
huu ni mfano sahihi wa kuwa mkweli maana wengi huaga kwenda sehemu tofauti na waendazo ... mjeda RIP
 
kimada muuaji kakamatwa yuko buguruni anasubiri kwenda mahakamani yaani atajuta kweli kwanza mpaka hukumu ipite wanajeshi watamla nyama maana wanatabia ya kuhitaji maelezo basi atajuta kila anapoitwa kuhojiwa lazima akamuliwe damu.................kwanza hakuna cha kuitwa hapo tena ndio mazima lupango ............masikini mke wa mjeda namuoneaje hurumaaaaaaaaaaaaaa

1.Alikuwa anamsindikiza NYUMBA NDOGO.
2.HAWARA akamchoma kisu mara mbili.
3.MKEWE anaandaa mazishi.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon,
Mwaka mpya na mambo mapya.

hapo kwenye red napaogopa mmmmh maana huyu Mungu sasa twamchezea lol
nadhani mshahara wa dhambi ni mauti, na hukumu ya mungu itaamua kwa wote mzinzi na muuaji
 
Back
Top Bottom