hii ni kwa ajili yako excellent uuanze mwaka mpya na cheko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii ni kwa ajili yako excellent uuanze mwaka mpya na cheko

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by AMINATA 9, Jan 3, 2012.

 1. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika kwake akaanza kupanda ngazi kuelekea gorofa la pili ilipo chumba chake yeye na mkewe,akakuta kuna giza nene na hakuna umeme huku sauti nzito ikisema,''Bby shake ur body,ur so sweet'' mme akajua kwa vyovyote anaibiwa,Akagonga mlango kwa hasira na mke alipofungua akashtuka sana kuona ni mmewe,mjadala ukaanza hivi.

  Mme:we mwanamke washa taa.
  mke;Taa zimeungua na mshumaa umeisha.
  Mme:nimesikia sauti nzito nani yupo ndani.
  Mke:unajua mme wangu we unasafari ya mara kwa mara hivyo nimeamua kununua robot ili niwe natuliza hamu yangu,yule ni robot,sijapenda
  nikusaliti wala sikupenda nitembee na jirani.
  Mme:Okey nakuamini,Mwenzako nina hamu sana naomba twende kitandani unipe mambo.
  Mke:Oh darling jana ilikuwa siku zangu kwahiyo hatuwezi tukafanya mapenzi labda nikuandalie maji ya kuoga,ukimaliza kuoga halafu ule.
  Mme:basi poa,ila leo nilivyo na hamu nadhani huyo robot nitamla tigo.
  Mke:teh teh poa,ngoja nikupelekee maji bafuni.
  Wakati mke ameenda kuandaa bafu,mme akaaenda kumwingilia robot kwa nyuma.,jamaa aliyejifanya robot akaanza kusema,''SYTEM ERROR! WRONG HOLE!SYTEM ERROR! WRONG HOLE!......Mme akasema kwa sauti"Kudadeki kama siwezi nikumege tigo lazima nikutupe
  nje kupitia dirishani,Jamaa alipoona kushushwa kutoka gorofa la pili ni ishu naye akajibu ''SOFTWARE UPDATED!,SOFTWARE UPDATED!
  YOU MAY TRY THE HOLE!YO MAY TRY THE HOLE!AGAIN I REPEAT TRY THE HOLE.
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Anza upya syntax error kibao
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  haha haha haha hahaha haha haha hahaha haha chezea kifo weye duuuh!!mshkaj kang'atwa kisogo bila ubish
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ww unayejua kiswahili sana rekebisha basi mana mm nilikimbia huko miaka mingi mnoooooooo hata ivo nimejitahidi mnooo kukumbuka................kama nimekuboa pole ila sio watz wote twajua io syntax
   
 5. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  dah, mecheka sn km mwehu vile, halafu hii nahisi ni origin tungo from u Ammy. U made my day. Teh teh teh.......
  Thnk u
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hahaha,mi mgumu kucheka, ila leo nimecheka.
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa hii ni kwa ajili ya Excellent, wacha nisave, na hata hivyo laptop yangu yaniambia 'Wait! Important updates being installed!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  emmy umetisha
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahhahahahahhahahhahahahahhahahahahhahahahhahahahhaha
  hahahahahahahahahahahahhahahahahhahahahahahahahahahhahhahahahahahahahahahahahhahahahhahhahahahahahhaahhahhaah
  hahahahahahhahahahahahhahahahahhahahhahahahahhahhaahhahahahhahahahahhahahahhahahahahahahahahahahahahahahahaha
  hahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahhahahahhahahahahhahahhahahahhahahahhahahahhahhahahahahhahahahaha
  hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 11. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thanx wangu
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ur welcome any time mpz
   
 13. s

  shee leo Senior Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kucheka kama leo mpaka tumbo linauma.
   
 14. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ur welcome mana jamaa kaona kuliko afe bora azibuliwe yaishe
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hahahahahahaha
  Aminata 9 thanks much dear,ninavyocheka sijui nitalalaje huku,ningekugongea double like tatizo hapa natumia phone,jiandae nitakuletea nondo za kweli.
   
 16. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nakuaminia am waiting 4u bby
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ok bby usijali
   
 18. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha alisema again kwa msisitizo da! Umetisha..nimecheka bila kujari uwepo wa wengine..teh teh.
   
 19. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  may i try the hole
   
 20. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh!! Hilo Robot la ukweli balaa!!! Hahahhaaaaaahhaaaaaaaa
   
Loading...