Msaada wa haraka jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AMINATA 9, Nov 20, 2011.

 1. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nina rafiki yangu yuko chuo kimoja maarufu hapo tz ana mvulana wake na yy pia ni mwanafunzi ila chuo ikoiko
  anampenda sana mvulana wake ila hamuamini sana kwasababu ya vitendo vya huyo bwana kuonesha kua ana wasichana wengine anawasiliana nao fb kupita kiasi na some times ktk simu pia ila kila akimuuliza jamaa anasema hana mahusiano nao bali anawatania tu na hana mpango nao...........ila kitendo iko kimekua kikimuudhi sana rafiki yangu na hua kila nikiongea naye analalamika tu juu ya mvulana wake
  mawasiliano yenyewe yako ivi mana alinikopia ili nione mana nilikua siamini koz jamaa ni mpole mnoo na smart sana ktk mambo yake
  mkaka:mambo dada
  mdada:poa vipi
  mkaka:umeolewa
  mdada:hapana kwani vp
  mkaka:unaonaje nikikuoa mm jamani
  mdada:khaa! hata hunijui loh!
  mkaka:nitakujua nikikuona na sasa hapa si ndio mwanzo wa kujuana we niambie uko wapi nikufuate kila kitu juu yangu (kuhusu garama usijali)
  yani yy mda wote ni anachati na wadada na kuadd wadada tu ktk fb yake na cm yake na akiulizwa eti anasema nawaenjoy tu hana mpango nao wala nn
  sasa alimpaga rafiki yangu password yake ila rafiki yangu hakua anaangali hata cku moja isipokua jana alimtumia text mkaka akakaa mda mrefu bila kujibu na anaonekana hewani rafiki yangu akaingiwa na wasiwasi akaamua kuingia fb ya mkaka ndio kumkuta anaongea na dada mmoja ili amfuate aliko na tax aje kulala kwake yule rafiki yangu alichofanya akamtumia yule kaka text kua leo hatuwez kuoana nitakua kikaoni na wenzangu ktk chama cha wanawake so nitakuona kesho yule kaka hakujibu kitu rafiki yangu akaaa akaamua kutoka nje anamuona jamaa anachukua tax anampigia simu na kumuuliza uko wapi anasema niko sehemu nafanya kazi za shule
  yy rafiki yangu akamwambia ww fanya utakavo mm sikuzuii wala kukulazimisha kua na mm nenda kamfate huyo unayemfata aje kulala kwako kaka akajibu mbona sikuelewi rafiki yangu akamwambia umesahau ulinipa password yako nimesoma vyote leo........kaka akaanza kujichekesha rafiki yangu akazima simu leo anaangalia password kaibadilisha tena na anamwambia eti nisamehe nakupenda sana wale mm sina mpango nao hata kidogo
  sasa hajui afanyeje mana kumpenda anampenda mnooooooo si kidogo tatizo ni mkaka kupenda sana wanawake tena ambao hata hawajui ni wale wa kuwatafuta ili akakutane nao huko mana wote ni wa mtandaoni
  MM BINAFSI NILITAKA KUMJIBU MUACHE MANA HATABADILIKA HUYO LABDA ANA PEPO LA NGONO ILA NIKAOGOPA so naomba majibu ya busara ili nimpatie rafiki yangu
  natanguliza shukurani zangu za dhati kwa watakaotoa maoni yao
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Dada naye angekuwa anacheat,siku hizi ukitoswa utaumia bure lazima uwe na extra ili ukitoswa usifiwe presha,ila ukijifanya umezama na kumwamini mtu mmoja utakufa presha bure.....mwambie huyo mdada achukulie poa,siku hizi hakuna haja ya kuumiza
  kichwa kwa ajili ya mapenzi labda utaumia pale mmeoana
   
 3. B

  Bado nipo nipo Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ya siku hz siasa tupu!
   
 4. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aendelee na masomo yake,na AMUACHE huyo jamaa,magonjwa mengi siku hizi.Simshauri nae a cheat kabisa.Atapata mwingine.
   
 5. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  huyo dada anatakiwa kuyeya! chuoni siyo kuzuri sana asipokuwa makini anawekugraduate na AIDS ! Atafakari theni achukue hatua
   
 6. Geen

  Geen JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anataka ushauri gani tena hapo?ameshaonyeshwa na mungu kwamba jamaa ni cheater so hapo kuna mawili either anataka kuumia muda wote au anataka kuwa free
  We mwambie achague kati ya hayo mawili
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kama ni wimbo,sasa tuko kwenye chorus. Jamaa kamwaga mboga, dada amwage ugali,maji ya kunawa ayamwagie kuzima jiko! Kha!
   
 8. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  story ya kutunga na bado haina mvuto, alafu we ni graduate jifunze kujieleza jamii ikuelewe! kiswahili broken, ebu jaribu kuiweka katika english may be we will get u!
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yana rani dunia.

  Anataka ushauri gani hapo tena, kila kitu kipo wazi. Kuna mambo mengine hayahitaji ushauri.
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kumbe????!
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yamenikuta kama haya,na nimeumizwa sana tena sana nimeamua kuacha kulazimisha mapenzi.Ingawa bado na maumivu tena sana lakini yatapoa na nitampata ataenifaa,
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  naomba nafas,niwe mpangaji moyoni mwako.
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa mpaka hapo huyu shostito haja shika mita? au anajitia mpofu sababu anapenda? na huko shule alifata kusoma sio kupenda,asome mapenzi hayaishi atakufa atayawacha.....
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwa post 73 tangu ujiunge Juni mwaka huu, unatarajia kuelewa lugha ya humu MMU kweli!? Endelea kujifunza ndugu yangu, bado una safari ndefu!
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mawasiliano ya aina hiyo ndiyo mwanzo wa kusaliti mahusiano yao, huyo mwanaume mpaka hapo keshamsaliti mpenzi wake......... hahitaji ushahidi zaidi ya huo, yeye asepe zake tu...................
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  akufukuzaye hakwambii toka,njemba kama anampenda kweli rafiki yako then he should walk the talk or else amwonyeshe mlango wakutokea kabla hajaukwaa.
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  so asepe au ??????????
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahhaaaaaaaaaaaaaaaa ama kweli akufukuzaye hakwambii toka ila cha moto utakiona
   
 19. v

  valid statement JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Jibu ulitaka/ ulilompa ndio jibu sahihi.
   
 20. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwaiyo hata msamaha wake asiuzikilize sio ..........mana aweza badilika who knows
   
Loading...