Niliwamiseje?

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
jamani wapendwa niliwamiss sana .nashukuru kwa wale waliokuwa wamenimiss na kunitakia heri na fanaka.
wiki tatu hizi nitazitumia kupitia thread zilizopita ili niji update
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Hebu kuja hapa nikukumbatie enhee namna hiyo sogea basi mamaaa...mbona unacheka na kukenua hovyo kama mwenyekiti wa Chama Cha Mauaji kashinda uchaguziii enhee give me a hug honey...
 
Hebu kuja hapa nikukumbatie enhee namna hiyo sogea basi mamaaa...mbona unacheka na kukenua hovyo kama mwenyekiti wa Chama Cha Mauaji kashinda uchaguziii enhee give me a hug honey...
nimetabasamujeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............u made ma night meeeen
 
ulipotea sana bana.....lakini Ivuga alisema ndio amekufungia......hivi amekuachia eeehhh......
 
Na sisi tulikumiss sana Aminata 9, lakini taarifa za mwisho tulizopata kutoka hapa ni kuwa MKuu wangu alikuwa amekufichwa - hahaha - Hongera na karibu tena jamvini.
 
Na sisi tulikumiss sana Aminata 9, lakini taarifa za mwisho tulizopata kutoka hapa ni kuwa MKuu wangu alikuwa amekufichwa - hahaha - Hongera na karibu tena jamvini.
asante mkuu............kwakunikaribisha tena jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom