Search results

  1. N

    Nimenyimwa Mtoto

    "Nilikuwa na Mpenzi, tukabahatika kupata mtoto wa kiume,anakaribia umri wa miaka mitatu mwezi ujao, Kwa muda mrefu nimekuwa nikimwomba mzazi mwenzangu anipe mtoto akakae na wazazi wangu na hatimaye kuanzishiwa shule huko, kwa sababu naamini wazazi wangu watamlea mtoto kwa mazingira (ambayo...
  2. N

    Mbunge Gaudense Kayombo (Mbinga) Awaibia wananchi TZS 21,000,000/=

    Wananchi wa Tarafa ya Namswea- Wilaya ya Mbinga waishio Dar es salaam walichanga pesa ili kununua vifaa vya maabara kwa ajili ya Ruanda Secondari. Mheshimiwa akatoa pendekezo kuwa atanunua vifaa hivyo na kwenda kukabidhi kwa Mkuu wa shule. Baada ya muda aliibuka na kueleza kuwa, amenunua vifaa...
  3. N

    Nimekula kwa Macho akiwa na Night dress tuu.

    Maisha ya mapenzi si mchezo; alikuwa my honey longtime, nikaenda kupiga kitab majuu. Juzi nimerudi jana kaniomba nimpeleke dinner, tumepata dinner kama kawa majira ya saa nne nkimrudisha kwake, akashuka akafungua geti nikaingiza mandolina yangu na kupaki, karibu ndani; akanizungusha vyumba vyote...
  4. N

    Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

    Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana
  5. N

    50yrs ya Uhuru (9 December) yasababisha ukata kwa wafanyakazi wa serikali na Mashirika yake

    Habari zilizonifikia hivi punde zinasema, Wafanyakazi wengi wa serikali hawajapata mshahara mpaka sasa, Jamaa alisema ! This month gona be disasta, si unajua Hazina walipitisha malipo ya kila idara kusheherekea miaka 50 ya uhuru kivyake vyake, na pesa nyingi inatakiwa kwa ajili ya tar 9, so...
  6. N

    Sijui kama atamaliza mwaka hapo Kilwa

    Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Kilwa, ameonekanaTBC1 akihojiwa juu ya watendaji wazembe aliowawajibisha, hofu yangu ni kwamba utakaa mwezi tuu utasikia ametimuliwa kama ilivyokuwa huko Mtwara- Wilaya ya Nanyumbu. Huyu jamaa alionekana ITV akikabidhiwa mamilioni ya mradi wa maji aliyoomba...
  7. N

    Loan Interest & Flexibility

    Natafuta Bank inayotoa mikopo kwa riba nafuu, na kwa urahisi, Nimechoka masharti Magumu ya benki X hata baada ya kuwa mteja wao wa muda mrefu.
  8. N

    Baada ya kula uhondo sasa haya hapo

    Hi ......... I trust that you are well. When I told you that I have a boyfriend, I meant it, yes I have a man whom I love with all my heart, my soul and strength and he loves me the same way. Now steming from that please note the following: 1. Do not call me "my love" or "mpenzi" coz I...
  9. N

    Wangapi tumechoka?

    Wadau, Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi. Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine. Yaani I am choka mbaya,
  10. N

    Wenye tv studio msiweke kabla watoto hawajalala:

    Kwa kweli TV zisipige kabla watoto hawajalala
  11. N

    Umewahi kusikia EWURA wamemkamata anayechakachua mafuta na wakamtangaza??

    EWURA kupitia msemaji wake leo katika radio moja wamejigamba kuwa wamewakamata wauza mafuta wengi sana wanaochakachua mafuta: Kama hii ni Kweli? Mmewahi kusikia wakiwataja wamiliki hao na kutangaza waziwazi? Amesema gari yako ikiharibika kwa sababu ya mafuta kuchakachuliwa wanahakikisha umepata...
  12. N

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    HUU NI UTHIBITISHO KUWA EWURA WALIDANGANYA NA KUTOA USHAURI POTOFU KWA SERIKALI, WANAPASHWA KUCHUNGUZWA NA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUSABABISHA HASARA KWA WANANCHI, SERIKALI AMKENI, ACHENI KUWATUMIA WATU WENYE ELIMU ZA KU-UNGA-UNGA, HAYA NI MATUNDA YAKE Nilipotoa Mada zangu kuwa EWURA ndio...
  13. N

    Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

    Napunguza urefu wa thread, soma hapo chini ufaidike, Maada yangu imefanikiwa kuibua vitu vingi sana, nawashukuru wachangiaji wote, na ndio maana halisi ya forum, chokonoa watu wteme sumu zao, Laaa tumeona mpaka Barua za EWURA haya ni mafanikio makubwa ya hii mada. Watanzania tuwe na uwezo wa...
  14. N

    Barua ya mfungwa

    kuna uchambuzi ulufanyika jana east africa radio, ukielezea hali ya Tanzania ki-uchumi imeandikwa na mfungwa mmoja. Please mwenye copy atuwekee tuisome.
  15. N

    Vipande vipande vyeupe vya kutosha

    Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje? Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo. Wana JF mnishauri...
Back
Top Bottom