Umewahi kusikia EWURA wamemkamata anayechakachua mafuta na wakamtangaza?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kusikia EWURA wamemkamata anayechakachua mafuta na wakamtangaza??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Neng'uli, Aug 17, 2011.

 1. N

  Neng'uli Senior Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EWURA kupitia msemaji wake leo katika radio moja wamejigamba kuwa wamewakamata wauza mafuta wengi sana wanaochakachua mafuta:

  Kama hii ni Kweli? Mmewahi kusikia wakiwataja wamiliki hao na kutangaza waziwazi?
  Amesema gari yako ikiharibika kwa sababu ya mafuta kuchakachuliwa wanahakikisha umepata gari mpya: Je kuna ushuhuda wowote juu ya hilo kwa watanzania wenzangu?

  Kama hii si kweli kwanini anadanganya wananchi???
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  walimpiga fain jamaa mmoja wa moshi aliweka gari la ikulu mafuta
  yaliyochakachuliwa likagoma kuwaka
  anaitwa epimack lasway wa rafiki petrol station
  kama sikosei milion tano or miaka mitano saomething like that
  nimesahau kidogo fain ilikuwaje
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ewura kazi yao ni kutangaza ongezeko la bei ya mafuta na nauli za mabasi tu.
   
Loading...