HUU NI UTHIBITISHO KUWA EWURA WALIDANGANYA NA KUTOA USHAURI POTOFU KWA SERIKALI, WANAPASHWA KUCHUNGUZWA NA KUFUNGULIWA MASHITAKA KWA KUSABABISHA HASARA KWA WANANCHI, SERIKALI AMKENI, ACHENI KUWATUMIA WATU WENYE ELIMU ZA KU-UNGA-UNGA, HAYA NI MATUNDA YAKE Nilipotoa Mada zangu kuwa EWURA ndio Tatizo wengi mlipinga, mmeona ugumu wa maisha sasa!!!! Tupaze sauti zetu kwa nini wasinge tuachie zile bei zetu za mwanzo tulikuwa tunapata mafuta kwa 2040-2080 na wale wazee wa BP 2100-2150 sasa nini wamefanya????? Costing Accountant. katongo2002@gmail.com |
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI ELEKEZI/KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI KUANZIA TAREHE 15 AGOSTI 2011
Aina ya Mafuta | Bei za Rejareja (TZS/L) | Bei za Jumla (TZS/L) | ||
Kwa Formula ya zamani | Kwa Formula Mpya | Kwa Formula ya zamani | Kwa Formula Mpya | |
Petroli | 2,298.33 | 2,114.12 | 2,230.07 | 2,046.62 |
Dizeli | 2,213.36 | 2,031.31 | 2,140.80 | 1,963.81 |
Mafuta ya Taa | 2,188.89 | 2,005.40 | 2,116.33 | 1,937.90 |
|