Mkuu,
Take a note kidogo kuhusu "SMART" Goals
S-Specific
What exactly do you want to achieve? What are to take for you to achieve it?
M- Measurable
It should be possible to track your progress ili ujipe serious reality check.
A-Attainable
Usiweke lengo la kuwa President wa URT mwakani😂
R-...
Aaah hongera sana
Huwa nasave UTT amis. Ila for a special purpose (target) naweka bank
ILi nsipate vishwishi nina unique budget ya kila mwezi, sijinyimi kwa vitu vya msingi.
Wakuu, Heri ya Pasaka
Ni juzi juzi tu tumeanza mwaka 2024. Mwaka unakimbia kwa speed ya 6G
Mara nyingi huwa tunafanya review za mipango yetu mwisho wa mwaka, kuangalia nini tumefanikisha na nini tumeshindwa kufanikisha.
This time nimeona bora niwe nafanya review kwa quarter.
Kati ya malengo...
Umetisha mkuu, nimeelewa sasa.
Nlikua najua kigezo cha pili ni GD.
Mimi ni mwananchi kindaki ndaki....ushindi wa Jana umepunguza machungu ya watoto wa 10hag
Nkua nataka nione numbers.
Kwa sasa CRB yuko nyuma ya Yanga kwa 6 goals na point 3.
Je kwenye mechi ya mwisho CRB akamfunga Medeama goli 7 - 0 si atakua amemzidi yanga.
Itakuaje. Naomba nieleweshwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.