Search results

  1. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Nimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste), Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95] Kg 15 inatembea km 230 Kg 11 unatembea km 180 Kg 9 inatembea km 120 Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako. Ukifunga gas...
  2. protogonist

    Rushwa iliyokomaa kwa Walimu wa shule ya secondary Tumbi kibaha acheni kupindua meza

    Kwa masikitiko makubwa naandika thread hii nina kijana wangu kasoma st kayumba shule moja hapa kibaha mjini selection zimetoka amefaulu Tumbi secondary matokeo nimeyapata official kutoka website ya tamisemi(tamisemi.go.tz) lakini cha ajabu leo wazazi tumeenda kwenye kikao kwa ajili ya...
  3. protogonist

    Anahitajika website developer

    Nahitaji website developer wa gharama nafuu km upo nicheck PM tufanye kazi
  4. protogonist

    Natafuta app developer kama upo njoo inbox

    Habari wakuu, Nahitaji mtaalamu wa kutengeneza android app kama unaweza njoo inbox tufanye kazi Shukrani.
  5. protogonist

    Je, kuna tiba ya ushoga kwa mtoto wa kiume?

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuwa na ndugu wa aina hii lakini Mungu ameshapanga. Nia na madhumuni ya kuandika ni kuomba msaada kwenu kama kuna tiba ya tabia hizi aidha iwe ya hospital au ya kienyeji. Natanguliza shukrani ***********UPDATES*********** KAMA NILIVYOSEMA AWALI KWENYE COMMENT...
  6. protogonist

    Msaada: Atakayefanikisha hili namlipa USD 100

    Habari wakuu, Nimepata tatizo ambalo kimsingi sio kubwa sana na pia sio dogo sana, ni la wastani. Lakini kwa wahusika ni jepesi sana, linaweza tumia dakika 1 kuwa solved. Ipo hivi: Nina Gmail account yangu ambayo huwa naitumia katika shughuli zangu muhimu sana siku moja nikatumiwa verification...
  7. protogonist

    Msaada: Nimepoteza ladha ya kula midomo (lips) inabadilika rangi

    Habari wakuu, Nimekuja mbele yenu naomba msaada. Nimepoteza ladha ya mdomo lips zangu zinakuwa nyekundu sana hasa ya chini pia lips ya chini inakuwa kama imevimba na kufa ganzi mdomo hauna ladha kabisa nakuwa kama mtu aliyetumia dawa ilihali sijatumia dawa yoyote msaada wakuu. Nini tatizo...
  8. protogonist

    Je, ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion

    Wasalaam, Kama swali linavyojieleza hapo juu ipi ni pikipiki bora kati ya Haojue na Kinglion kuanzia kimuonekano, speed, kudumu na nguvu. Pia ipi ambayo imeteka sana soko la tz kati ya hizo pikipiki mbili. Karibuni tujadili Sent using Jamii Forums mobile app
  9. protogonist

    Mfahamu Tupac Shakur, nabii aliyepitia maisha ya kihuni

    Nawasalimu wakuu,twende moja kwa moja kwenya Mada. TUPAC AMAR SHAKUR alizaliwa mnamo tarehe 16 mwezi juni mwaka 1971 ni mtoto wa kiume wa mwanamama AFENI SHAKUR ambaye alikuwa ni mwana harakati wa kupigania haki za watu weusi...wakati Afeni akiwa na ujauzito wa tupac alihukumiwa kwenda jela na...
  10. protogonist

    Usipitwe karibu nikufundishe namna ya kutengeneza incubator zote(kerosene,umeme)

    Salute bosses, Nakuja na hii ofa mbele yenu karibu nikufundishe kutotoresha mayai kwa njia ya asili Ambapo njia hii haitachukua kiasi kikubwa cha mayai. Vilevile Kutengeneza eggs incubator hatching 5000 eggs ambayo ina ufanisi wa kutotoa 95% mashine itakuwa full automatic pia tunatoa somo la...
  11. protogonist

    Nunua vifaranga vya kuku vya aina mbalimbali.

    Habari, Chama cha wafugaji wa kuku SUMBAWANGA kinapenda kuwatangazia wateja wake wote pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa ifikapo tar 1/08/2018 vifaranga vya aina mbalimbali vitapatikana kwa bei poa AINA ZA VIFARANGA NA BEI(VIFARANGA NI VYA SIKU MOJA) 1.SASSO=1900(stock vifaranga 5000)...
Back
Top Bottom