Msaada: Nimepoteza ladha ya kula midomo (lips) inabadilika rangi

protogonist

Senior Member
Feb 27, 2018
179
226
Habari wakuu,

Nimekuja mbele yenu naomba msaada. Nimepoteza ladha ya mdomo lips zangu zinakuwa nyekundu sana hasa ya chini pia lips ya chini inakuwa kama imevimba na kufa ganzi mdomo hauna ladha kabisa nakuwa kama mtu aliyetumia dawa ilihali sijatumia dawa yoyote msaada wakuu.

Nini tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahi hospital kabla hali haijawa mbaya
Habari wakuu,
Nimekuja mbele yenu naomba msaada Nimepoteza ladha ya mdomo lips zangu zinakuwa nyekundu sana hasa ya chini pia lips ya chini inakuwa kama imevimba na kufa ganzi mdomo hauna ladha kabisa nakuwa kama mtu aliyetumia dawa ilihali sijatumia dawa yoyote msaada wakuu Nini tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Back
Top Bottom