Nunua vifaranga vya kuku vya aina mbalimbali.

Nunua vifaranga vya kuku vya aina mbalimbali.

Dungeon

Senior Member
Joined
Feb 27, 2018
Posts
188
Reaction score
312
Habari,
Chama cha wafugaji wa kuku SUMBAWANGA kinapenda kuwatangazia wateja wake wote pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa ifikapo tar 1/08/2018 vifaranga vya aina mbalimbali vitapatikana kwa bei poa

AINA ZA VIFARANGA NA BEI(VIFARANGA NI VYA SIKU MOJA)

1.SASSO=1900(stock vifaranga 5000)
2.LAYERS=2000(stock vifaranga 3000)
3.KUROILER=1800(stock vifaranga 6000)
4.KIENYEJI PURE=1700(stock vifaranga 7000)

Wahi sasa kuweka oda yako,
Oda ni kuanzia vifaranga 500 mikoani tunasafirisha buree kabisa pia mayai yanapatikana kwa bei zifuatazo.
SASSO=15,000
LAYERS= 7,000
KUROILER=13,000
KIENYEJI PURE=10,000
FREE DELIVERY!!!
PIA MASHINE ZA KUTOTOLESHA ZINAPATIKANA KWA BEI POA

MAWASILIANO:+255 674 094 532
WAHI SASA KUWEKA ODA YAKO.
 
bei nzuri sana mkuu.
ungekuwa mkoa jirani na wangu ningenunua...jina "Sumbawanga".......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom