Search results

  1. The Icebreaker

    Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  2. The Icebreaker

    Umejifunza nini kupitia kwa Louis Suarez?

    Mchezaji wa soka Louis Suarez raia wa Uruguay aliyekua akiichezea Club ya Barcelona ya Spain toka mwaka 2014 - 2020 akitokea Liverpool,aliambiwa na kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman kua alikua na uwezo mdogo wa kucheza soka la ushindani na umri wake umeenda hivyo hakua kwenye mipango ya...
  3. The Icebreaker

    Mwaka 2020 ni jambo gani hutolisahau?

    Wakuu hope kila mtu yupo katika hali njema na kwa wale wanaopitia kwenye matatizo ya kimaisha iwe maradhi au hali ngumu ya kiuchumi hope Mungu ataweka unafuu. Mwaka 2020 ndio tunaelekea kuumaliza na kuukaribisha mwaka 2021. thd hii tujadili kwa kila mmoja wetu ni jambo/mambo gani ambayo...
  4. The Icebreaker

    Malezi ya watoto na changamoto zake

    Wakuu,mada hii ni maalum kwa wazazi au walezi wa watoto,changamoto tunazopitia katika malezi ya watoto na jinsi ya kukabiliana nazo,wote tunatambua kua malezi ya watoto ni muhimu na watoto ndio taifa la kesho,maadili mema,utambuzi wa mambo na mengineyo,mtoto huanza kujifundisha kupitia watu...
  5. The Icebreaker

    Ujumbe wa leo katika picha.

  6. The Icebreaker

    Idd Amin atupa mabomu Kagera.

  7. The Icebreaker

    Uliwahi kufanya hii utotoni?

  8. The Icebreaker

    Maisha "Life"

  9. The Icebreaker

    Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

    Robert Nesta Marley maarufu zaidi kwa jina la Bob marley,alifariki siku kama ya leo 11-may-1981 Bob marley alizaliwa Jamaica tarehe 6-2-1945 kwa mama mjamaica Cedella malcolm booker,na baba yake ni mzungu Norval marley mwenye asili ya Uingereza, Bob marley alipata umaarufu na mafanikio zaidi...
  10. The Icebreaker

    Maneno ya 50 cent

  11. The Icebreaker

    Matajiri kumi wa dunia 2018 February na Forbes.com

    Forbes imetoa list ya matajiri duniani 2018,Jeff bezos anashika namba moja wakati Bill gates kashuka mpaka kwenye namba mbili.. #1 Jeff Bezos $112 B 54 Amazon United States #2 Bill Gates $90 B 62 Microsoft United States #3 Warren Buffett $84 B 87 Berkshire Hathaway United States #4...
  12. The Icebreaker

    Nimeingia JF mpaka ndani

    Nimeingia JF rasmi...tuwe pamoja wakuu.
Back
Top Bottom