The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,686
- 123,490
But you didn't like bossSana tu
His like?Yeah
Wee sio hiyo tuu mi nakumbuka niliwahi kushonea soli ya kiatu kwenye unyayo cha mguu..
Ni michezo ya kitoto tu mkuu ya enzi hizo,watoto walichukulia ni kama kujionyesha ushujaa fulani kwa watotot wenzako.😀😛Lengo ni nini?
Hukuumia?[emoji12]Sana tu
Hakika mkuu,enzi zetu huu ''udigital'' haukuwepo kabisa!Uongo mbaya sisi tulikula utoto wetu,sio leo manchester na kukaka kuchati tu.
Curious minds ndio wamefanya hichi kitendo cha kutoboa ngozi ya mkono kwa nje,ila kuna kundi lingine kubwa ambalo hawakufanya haya.Hakika mkuu,enzi zetu huu ''udigital'' haukuwepo kabisa!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hukuumia?[emoji12]