Matajiri kumi wa dunia 2018 February na Forbes.com

Matajiri kumi wa dunia 2018 February na Forbes.com

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,525
Reaction score
122,945
Forbes imetoa list ya matajiri duniani 2018,Jeff bezos anashika namba moja wakati Bill gates kashuka mpaka kwenye namba mbili..

#1 Jeff Bezos $112 B 54 Amazon United States
#2 Bill Gates $90 B 62 Microsoft United States
#3 Warren Buffett $84 B 87 Berkshire Hathaway United States

#4 Bernard Arnault $72 B 69 LVMH France

#5 Mark Zuckerberg $71 B 33 Facebook United States

#6 Amancio Ortega $70 B 81 Zara Spain

#7 Carlos Slim Helu $67.1 B 78 telecom Mexico

#8 Charles Koch $60 B 82 Koch Industries United States

#8 David Koch $60 B 77 Koch Industries United States

#10 Larry Ellison $58.5 B 73 software United States
 
Utafiti wa hovyo kabisa huu! Dk.shika na Nabii tito wapi?
 
Habari za tajiri muulize maskini.
 
Nilichogundua mabilionea wengi wako kwenye sector ya mambo ya teknolojia ya habari na mawasiliano yaani mibilionea mingi iko hapo.WATANZANIA tukazeni buti kwenye hili eneo lina hela kuliko visima vya mafuta vya waarabu.
 
Hili ndio eneo pekee ambalo usimamizi wake hauna gharama sana.
 
Back
Top Bottom