Search results

  1. M

    Kama waziri wa fedha hili ni msamiati basi rais atafakari upya nafasi yako

    Jana waziri wa fedha akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya 2014/2015 pamoja na mambo kadhaa yanayoleta utata, alirejea kwenye sintofahamu iliyowasilishwa na Mgimwa katika bajeti ya 2013/2014 na kukataliwa na TRA baada ya kuona haikuwa na tija kiuchumi na hata kimazingira. Haihitaji madarasa saba...
  2. M

    Kuporomoka kwa thamani ya shilingi na hatari inayolikabili Taifa...

    Kiukweli toka Mgimwa ameondoka na kukaa Mwigulu mropokaji Bungeni inanikera jamani. Just in a month exchange rate inatoka 1630 hadi 1665!
  3. M

    Spika Anna Makinda hapa umetupora kupitia wizara ya habari

    Mbunge alipohoji 1.5bil za kulipia pango la ofisi za wizara kwa mwaka mmoja alikuwa na pointi kubwa sana tena sana ya kulisaidia taifa la Tanzania. Hiyo pesa ni kubwa sana kiasi kwamba wizara inaweza kujenga majengo yake na vituo vya michezo kadhaa, lakini mbunge alipohoji haya matumizi Ana...
  4. M

    Ukiritimba na Customer Care mbovu NMB

    NMB ni Benki nzuri iliyoenea Tanzania na kwa maana hiyo ni kimbilio la wananchi wa kawaida na wenye kipato cha chini. Pamoja na hayo kuna baadhi ya kero ambazo si za lazima lakini baadhi ya watumishi wa NMB wanazifanya kuwa za lazima na hivyo kutufanya wateja wake kupoteza muda mwingi kutatua...
  5. M

    Ushauri: Gari ipi iko comfortable kati ya hizi?

    Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating/running cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95 au Mitsubishi Outlander au Jeep charokee renegade GH-KJ37. Nahitaji SUV ambayo ina nguvu na...
  6. M

    Gari ipi iko comfortable na garama ya kuimiliki ipo chini kati ya hizi.

    Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95 au Mitsubishi Outlander au Jeep charokee renegade GH-KJ37. Nahitaji SUV ambayo ina nguvu na inafika...
  7. M

    Nikila asali mbichi tumbo linauma. Nifanyeje?

    WanaJF Doctors, Nasikia Asali mbichi ni tiba ya mambo mengi mhimu ya mwili lakini mimi nikitumia tumbo linauma. Nifanyeje?
  8. M

    Gari yenye injini ya d4

    Jamani naomba kuuliza kama gari kama Toyota corona Premior au Verossa yenye injini ya D4 kama ina matatizo katika uendeshaji. nataka nijue kama iko safi kwa matumizi.
  9. M

    Tangazo la ssra la tarehe 27/7/2012

    WanaJF nasikia Tume ya Usimamizi na udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za jamii (SSRA) mnamo tarehe 27/07/2012 walitoa tangazo kwa umma lililokuwa likiwalenga wanachama wa zamani wa mifuko ya hifadhi za jamii kabla ya marekebisho ya sheria ya April 2012. Kama kuna mwenye data lilikuwa linasemaje...
  10. M

    Msaada: Duka la nguo za watoto

    WanaJF, Baada ya kufanikiwa katika maandalizi ya kilimo sasa nimefikia kubuni biashara sambamba na kilimo. Katika harakati za kutafuta biashara ya kufanya nimefikia uamuzi wa kuanzisha biashara ifuatayo: (i) Nguo za watoto kati ya 0-12yrs na mahitaji yao mengine lakini pia nikijumuisha pamoja...
  11. M

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    MASWALI MBALIMBALI YALIYOULIZWA KUHUSU KILIMO HIKI Ndugu wana JF, Naomba kama kuna mtaalamu wa kilimo anisaidie ili nifahamu makadirio ya kiasi cha mavuno ya mpunga katika ekari moja katika kilimo cha kisasa ili tujipange kutekereza sera ya kilimo kwanza! Naomba pia kufahamu sehemu ambazo...
  12. M

    Je ni kweli kuna uwezekano wa mwanamke kutokuiona bikila yake?

    Nimesikia kuwa kuna uwezekano wa binti kufikia kupata mtoto wakati hakuwahi kushuhudia bikraa yake ikitolewa? Je, hili lina ukweli? na ni mazingara gani yanaweza kusababisha hali hii itokee pasipo ajali yeyote?
  13. M

    Idadi ya nondo katika floor ya ghorofa

    Naomba nifahamu ghorofa standard yenye urefu wa mita 20 na upana wa mita 10 inahitaji nondo za aina ngapi na kwa idadi ipi ili kukamilisha ile level ya kwanza tu bila kuhusisha zile zilizoko katika foundation na beam. Hapa nataka nifahamu idadi ya nondo kwa kila 10 or 20square meters ya 1st...
Back
Top Bottom