Ushauri: Gari ipi iko comfortable kati ya hizi?

Memory

Senior Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
106
Reaction score
37
Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating/running cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95 au Mitsubishi Outlander au Jeep charokee renegade GH-KJ37. Nahitaji SUV ambayo ina nguvu na inafika mahala popote Tanzania na iko comfortable pia.
 
Kuchamba kwingi utaondoka na kinyesi. Go for Prado nimetembeanayo sana mikoani.
 
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani
 
Jeep huwa trafic awasubutu kusimamisha.iyo gari ni heshima ,sio japani
 
Jeep ni gari ya marekani, siyo ulaya
 
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani

Jeep ni gari ya ulaya?...hahahaha! Kwa class yake hakuna gari inayoifikia Land Cruiser kwa kila kitu, hata mimi sipendi TOYOTA, I'd go for Disco 3 au VW Toureg, lakini bado Cruiser ni jembe, hata Waingereza Na Wajerumani unaowaheshimu wanalifahamu hilo!
 
Jeep huwa trafic awasubutu kusimamisha.iyo gari ni heshima ,sio japani

Heshima kivipi sasa, unaongelea Jeep gani, mannake kauli yako ni sawa na "toyota huwa trafic hasimamishi". we kweli darasa 7
 
Naomba wenye uzoefu na haya magari wanisaidie ni gari ipi iko comfortable na operating/running cost ipo chini ukiachilia mbali matumizi ya mafuta. Magari ni kati ya Toyota Land cruiser Prado RZJ95/VZJ95 au Mitsubishi Outlander au Jeep charokee renegade GH-KJ37. Nahitaji SUV ambayo ina nguvu na inafika mahala popote Tanzania na iko comfortable pia.

chukua prado uhakika!
 
lazima tujue jeep za apa bongo si us made so issue ya kusingizia quality iko questionable kidogo... go for prado a well proven car even for rough road here in tz
 
Jeep ni gari ya ulaya?...hahahaha! Kwa class yake hakuna gari inayoifikia Land Cruiser kwa kila kitu, hata mimi sipendi TOYOTA, I'd go for Disco 3 au VW Toureg, lakini bado Cruiser ni jembe, hata Waingereza Na Wajerumani unaowaheshimu wanalifahamu hilo!

asante kwa masahihisho mkuu
 
Heshima kivipi sasa, unaongelea Jeep gani, mannake kauli yako ni sawa na "toyota huwa trafic hasimamishi". we kweli darasa 7

Tazama jamaa hapo juu anataka jeep hipi hau ulizani toleo la mwaka 47,kitu cha chokolate(Charokee)
 
Mkuu kama unaweza beba mzigo wa jeep grand cherokee hutajuta kama unapiga masafa sana last week nimepiga safari dar tanga na jeep mzigo uko powerfull and confortable CC 3950 unazifeel kabisaaa chukua hiyo
 
Sasa Cherokee unajua imeanza kutengenezwa mwaka gani? Na hiyo unayosema wewe Cherokee ni tofauti na anayotaka yeye Cherokee Renegade. Cherokee na Prado ni vitu viwili tofauti...Cherokee Renegade ni compact size suv, barabarani ni takataka tu!

Hizi hapa chini anazotaka, hata kwa akili ya darasa la saba tu ungechaguwa ipi?zote ni za 2004

renegade.jpg

2004prado.jpg
 
Mkuu kama unaweza beba mzigo wa jeep grand cherokee hutajuta kama unapiga masafa sana last week nimepiga safari dar tanga na jeep mzigo uko powerfull and confortable CC 3950 unazifeel kabisaaa chukua hiyo

Dah, mkuu hii gari nzuri, tatizo kwenye kona kali haichelewi kuachia barabara ukiwa kwenye speed! hapo bado prado jembe!
 
Back
Top Bottom