Gari yenye injini ya d4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari yenye injini ya d4

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Memory, Aug 4, 2012.

 1. M

  Memory Senior Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani naomba kuuliza kama gari kama Toyota corona Premior au Verossa yenye injini ya D4 kama ina matatizo katika uendeshaji. nataka nijue kama iko safi kwa matumizi.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu RAV4 new model zote pamoja na na Ma-VX injini zake ni D4 na unajua kuwa magari haya yote ni ghali. Kwa mantiki hiyo nategemea kuwa injini za D4 zitakuwa bomba kabisa.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tatizo la D4 ni utunzaji,inabidi uwe unafanya services mara kwa mara,pia epuka mafuta ya mtaani haya ya kwenye vidumu vya lita 5,nunua mafuta yenye quality yasiyochakachuliwa!!
   
 4. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mafuta nunua puma au gapco ukiweka yaliyochakachuliwa unaua mashine
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  gari yangu ina D4, safari ya moro tu, piston imetokea ubavunimwa injini
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa!!
  D4 ina matatizo, na toyota walikubali kwamba zina matatio.
  Tatizo lake ni pump, seal zinakufa na ona switch flani ni noma ikifa! Lazima kuweka mpya na sio ya taiwan.
  Kama unaweza kuziepuka, do so for your own good.
   
 7. M

  Memory Senior Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ahsanteni jamani maana haya magari ukikurupuka unaweza ukachukia gari maisha yako yote lakini kumbe hukufanya analysis nzuri wakati wa kununua.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Si unakumbuka msemo wa fid Q? "Anayewauzia wasanii magari anaitwa nani? Maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani?"
   
Loading...