Tangazo la ssra la tarehe 27/7/2012

Memory

Senior Member
Jun 29, 2011
106
37
WanaJF nasikia Tume ya Usimamizi na udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za jamii (SSRA) mnamo tarehe 27/07/2012 walitoa tangazo kwa umma lililokuwa likiwalenga wanachama wa zamani wa mifuko ya hifadhi za jamii kabla ya marekebisho ya sheria ya April 2012. Kama kuna mwenye data lilikuwa linasemaje tafadhari atumwagie barazani hapa.
 
Back
Top Bottom