Search results

  1. Joseph

    Tanzania tumekubali kushiriki dhambi hii!

    Jana katika ufunguzi wa mashindano ya Commonwealth mwanamuziki John Barrowman alionekana akimbusu mwanaume mwenzake mbele ya washiriki wote wa mashindano haya,je Tanzania tunakubaliana na hili?
  2. Joseph

    Mke kuamka saa tisa usiku kuperuzi simu ya mumewe,ni sawa hili wadau?

    Furaha ya siku ya wapendanao wadau, Leo usiku nimekutana na kitu ambacho mpaka sasa nashindwa kuamini kama kimetokea. Nikiwa nimelala na mama watoto huku nikiwa nimemkumbatia kama kawaida yangu, Ghafla nikajikuta nipo peke yangu,nikakaa kama dakika tatu hivi nikimsubiri arudi lakini sikuona...
  3. Joseph

    Picha:Hii imekaaje wadau wa Siasa?

    Hivi inawezekana kwa vyama vingine kuyafanya haya?
  4. Joseph

    Hivi Joseph Shamba a.k.a Vengu hali yake inaendeleaje?

    Wadau nataka kujua hali ya huyu msanii maana ni siku nyingi amekuwa anaumwa na nilisikia Serikali ilimpeleka India kutibiwa.
  5. Joseph

    Ikulu blog ni aibu tupu

    Leo niliamua kupitia blog ya Ikulu na kukutana na kukutana na mshangao,yaani hakuna updates zozote tangu tarehe 14 May 2013?Hivi hawa watu walioajiriwa na Ikulu kufanya kazi hii wanafanya kazi gani?Tunaposema Serikali haipo makini tunakuwa hatukosei na mifano ndio hii tunayoiona kila siku.Huu ni...
  6. Joseph

    Salma kikwete afanya danganya toto lindi

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM,Salma Kikwete aligoma kushuka kwenye gari kwenda kuhudhuria mkutano wa ndani wa chama ambao ulikuwa umepangwa kufanyika katika chumba cha darasa la shule ya msingi,akisema kuwa si sahihi mkutano wa chama kufanyika katika darasa la shule ya serikali...
  7. Joseph

    Miss tanzania akiwa ziarani kagera

    Alama hizi zinaashiria nini?
  8. Joseph

    Kwa wale wanaume wapenda warembo huyu hapa yupo single

    Kweli acha Mungu aitwe Mungu maana anajua kuumba
  9. Joseph

    Kutana na kamanda aliye tayari kwa vita

    Kamanda kama huyu anatufaa sana kipindi kama hiki cha vurugu maana kwa muonekano huu hakuna kuuliza maswali ni kanyaga twende.
  10. Joseph

    Jamani naomba ushauri wa haraka iwezekanavyo

    Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili. Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu. Wadau...
  11. Joseph

    Afghanstan mambo bado ni moto!

    Kwa hali kama hii si rahisi vita kuisha mapema
  12. Joseph

    Mnaionaje hii wana CHADEMA Arusha?

    Siku ambayo JK anakuja Arusha wana CHADEMA waandae mabango ya kutosha na kwenda uwanjani kama kawaida,JK akiingia tu uwanjani anakutana na mabango na baadae watu wanatoka mmoja mmoja kama walivyofanya wabunge bungeni.mnaionaje hii wadau?
  13. Joseph

    Hivi cuf ni chama cha upinzani bungeni?

    Napata shida sana kuelewa kuhusu chama hiki kudai kuwemo katika kambi ya upinzani wakati huo huo kwa upende mwingine ni watawala tena wakitawala pamoja na CCM Zanzibar.Je wana uhalali wa kuwa katika kambi ya upinzani?
  14. Joseph

    As the revolt in Egypt spreads....

    Baada ya maandamano na mauaji ya wananchi nchini Misri ambayo yamefikia watu 53 mpaka sasa,baraza la Mawaziri limeamua kujiuzulu. Source:Aljazeera
  15. Joseph

    Tattoo nyingine jamani!Ni balaa tupu

  16. Joseph

    JeUkimfumania mkeo akila tunda na ndugu yako utafanyaje?

    Wana JF leo majira ya saa tano jamaa kamfumania mkewe akila tunda na mdogo wake,jamaa kaamua kuhama na kuwaachia kila kitu waendelee,imekaaje hii wadau?
  17. Joseph

    Jamani mmemuona huyu?

    Hivi mheshimiwa huyu alikwishawahi kupiga magoti hivi wakati akiwa Waziri?
  18. Joseph

    Nimshauri vipi?

    Nina rafiki yangu na alikuwa katika mahusiano na dada mmoja ambaye wakati huo alikuwa na boyfriend wake ila bado walikuwa hawafikia kuwa wachumba,pia rafiki yangu huyu nae ana mwanamke wake ambaye wamedumu kwa muda mpaka sasa. Tatizo ni kwamba huyu dada anaolewa mwisho wa wiki hii huku akiwa na...
Back
Top Bottom