Hivi cuf ni chama cha upinzani bungeni?

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,518
1,086
Napata shida sana kuelewa kuhusu chama hiki kudai kuwemo katika kambi ya upinzani wakati huo huo kwa upende mwingine ni watawala tena wakitawala pamoja na CCM Zanzibar.Je wana uhalali wa kuwa katika kambi ya upinzani?
 
Cuf si chama cha upinzani bali ni malaya anayebabaika kila akiona bwana amefanikiwa anataka kubadili mabwana bila hata kuachana na bwana wake wa kwanza. Anapenda kupata mafanikio kwa kutumia mabwana.
 
Upinzani ni kuprovide check n Balance, huyu CUF ni disqaulfied. Ila kinachochanganya ni muafaka nusu.
 
Ndio CUF ni chama cha upinzani bungeni
KINAIPINGA CHADEMA
 
Cuf ni kama malaya mzee anayeshobokea kila mwanamume na ukimtosa anaanza visa hoo jamaa jogoo hapandi mtungi,sijui mchoyo,sijui hana lolote wakati alikuwa ashakuvulia we ukamtosa ukaona kitu gani bull shit kwanza bibi tu huyu na we unamind kina sidanganyiki.
 
cuf ni sawa na shoga malaya,shoga malaya halitosheki na wanaume,linalazimisha wanaume ,na lipo tayari kugharimia pambano(kuchapwa) ili mradi tu nafsi ifurahi.

ama kweli chama cha wananchi ni sawa na sawa na shoga malaya,tena la mombasa
 
CUF ni chama ambacho kimekosa mwelekeo kwani ni vigumu ku- classfy kimebaki kuwa na tabia ya popo isiyo eleweka.

Hiki si chama tawala wala chama cha upinzani bali ni kikundi cha watu kinacho ifanyia kazi ccm.
 
Back
Top Bottom