Jamani mmemuona huyu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mmemuona huyu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Joseph, Sep 23, 2010.

 1. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  09_10_xa137s.jpg
  Hivi mheshimiwa huyu alikwishawahi kupiga magoti hivi wakati akiwa Waziri?
   
 2. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kipindi cha uchaguzi tegemea lolote lile toka kwa wagombea hasa mambo yakiwa na dalili ya kutokuwa mazuri. Si unasikia wagombea wakitoa shikamoo kwa watoto wa shule waliowatoa madarasani kuja kujaza uwanja wa kampeni
   
 3. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli nchi imekwisha yaani jamaa wameona hela zimeshindwa sasa wameona ni NYUMBA KWA NYUMBA, CHUMBA KWA CHUMBA, KITANDA KWA KITANDA, SHUKA KWA SHUKA na hii nayo kali sikuitegemea kwa Mh, kama huyu tena Dr!!!!!!!!!, ama kweli kuendeleza hii ya GOTI KWA GOTI, inamaana hakuuona huo upuuzi alioufanya mwenzake wa UBUNGO!!!!!!, WANDANGANYIKA tunapaswa TUSIDANGANYIKE!!!!!!!!!!!
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  KURA Bonanza ndo inavyokuwa hivyo.
  Kwake kupata aibu ya dakika chache siyo kitu kama weye kupata aibu kwa five years za MICHAKATO na UPEMBUZI YAKINIFU
   
Loading...