As the revolt in Egypt spreads....

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,518
1,086
Baada ya maandamano na mauaji ya wananchi nchini Misri ambayo yamefikia watu 53 mpaka sasa,baraza la Mawaziri limeamua kujiuzulu.
Source:Aljazeera
 
201112991746266112_20.jpg

mijitu kama hii haijui kama kuna wakati watu wataichoka....next JK
 

Attachments

  • 201112991746266112_20.jpg
    201112991746266112_20.jpg
    29.2 KB · Views: 38
Msiwaandame jamani.

Nafahamu mwawaandama kwa sababu tu ni Waislaam.

Huko Egypt, kama huyu Rais angelikuwa Mkristo, wala wasingelisema.
 
Wakati maandamano na vurugu za MAFARAO kutaka Rais Mubarak wa misri ajiuzulu,jioni hii kwa mara ya kwanza tangu awe raisi ameteua makamu wa rais ,Omar Suleiman na kumwapisha na kuanza kazi mara moja. Source ALJAZEERA LIVE.
 
The wind of revolution is blowing towards EA

The wind will never get to Tanzania. Makondoo sisi. Viongozi wa dini watasema, "Mzitii mamlaka zote....." tutawasikiliza bila kujiuliza. Misri kuna wasomi na si Tanzania. Tusibonyeze keyboards zetu kujifurahisha.
 
the wind will never get to tanzania. Makondoo sisi. Viongozi wa dini watasema, "mzitii mamlaka zote....." tutawasikiliza bila kujiuliza. Misri kuna wasomi na si tanzania. Tusibonyeze keyboards zetu kujifurahisha.

nchi nzima masharobalo....L.O.L
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom