Tanzania tumekubali kushiriki dhambi hii!

Tanzania tumekubali kushiriki dhambi hii!

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Posts
3,518
Reaction score
1,090
article-2703429-1FEA23FC00000578-386_634x353.jpg
Jana katika ufunguzi wa mashindano ya Commonwealth mwanamuziki John Barrowman alionekana akimbusu mwanaume mwenzake mbele ya washiriki wote wa mashindano haya,je Tanzania tunakubaliana na hili?
 
Huyo mwanamuziki ni mtanzania? Na hata angekuwa mtanzania nisinfejihukumu hata siku moja...aliyefanya ni yeye sio mimi
 
hii inawahusu wao na sio watanzania,kushiriki kwetu sio kuingiria uhuru wao kwa kufanya ushenzi huo,ukizingatia sio mtanzania aliyefanya hayo.
 
Inasemekana wanaume tulikuwa viumbe vyenye nguvu labda na upeo mdogo kuliko kinamama, wazee wetu wakafanya kazi kubwa kuweka khali tuliyoikuta kwa kuirudisha hekima japo kidogo ndani ya mwanaume.
Tunapoelekea tunarudi nyuma tunaenda kutawaliwa na wanawake muda si mrefu ndani ya karne moja.
Nilibahatika kufika sehemu moja wanawake wananguvu ya kiutamaduni; ukioa unaamia kwenye ardhi ya mama ni shida.
 
Acha udini Joseph,inamaana wewe wakati wa kugegeda huwa hunyonyi sehemu mbalimbali,kama ni dhambi ianze kwenye dhamira yako na si kuhukumu wengine,waache wafu wazike wafu zao.
Mmbona hujasemea habari keot Komba kulaza kitambi chake kifuank kwa aliyekuwa mtoto lulu ,sasa hivi ni jimama shankupe😕
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanamuziki ni mtanzania? Na hata angekuwa mtanzania nisinfejihukumu hata siku moja...aliyefanya ni yeye sio mimi

Kuna vitu vingine kupingana navyo ni kama kuzuia jua kwa ungo, kinachotakiwa wewe mwenyewe kujua ustaarabu wako!
 
Acha udini Joseph,inamaana wewe wakati wa kugegeda huwa hunyonyi sehemu mbalimbali,kama ni dhambi ianze kwenye dhamira yako na si kuhukumu wengine,waache wafu wazike wafu zao.
Mmbona hujasemea habari keot Komba kulaza kitambi chake kifuank kwa aliyekuwa mtoto lulu ,sasa hivi ni jimama shankupe😕
Sioni udini wangu unaingiaje katika suala hili,sidhani Victorsery kwenu ulifundishwa kugegeda hadharani na mtu wa jinsia moja na wewe tena kwenye hadhara kubwa kimataifa inayotazamwa na mamilioni ya watu.
 
Back
Top Bottom