Search results

  1. Z

    Why country borrow to finance its budget?

    The Government spends money to finance its various activities. The activities include building of infrastructure, defence of a country's national boundaries, provision of social services such as health, education, maintenance of security, payments of salaries for its employees and many others...
  2. Z

    Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  3. Z

    Kwanini CHADEMA wanafukuzana wenyewe

    Nimekuwa nafuatilia mienendo ya vyama mbalimbali nchini nikagundua kufukuzana sio jambo jipya katika vyama hivi. Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanachama waliofukuzwa chama cha demokrasia na maendeleo kuwa wengi ikilinganishwa na chama kingine chochote nchini. Sasa sijajua chanzo ni...
  4. Z

    Uchaguzi 2020 Ukiwa huna mipango ya ushindi ni vyema usipoteze muda wako kugombea uongozi Oktoba 2020

    Nimekuwa nikifuatiliia watia nia wengi walioanza kujitokeza na kufanya tathmini kidogo nimegundua wengi hawana mipango madhubuti ya kuwakomboa wananchi katika changamoto nyingi wanazokumbana nazo. Wengine wanaona kama urais, ubunge na udiwani kama njia nyepesi ya kujipatia vipato. Wananchi...
  5. Z

    Kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe Robert Mugabe ni pigo kwa Afrika

    Kati ya viongozi wa bara la Africa waliopigania maslahi ya waafrika kwa ustawi wa bara la Africa Mugabe hatasahaulika. Viongozi wa sasa bara la Africa wajifunze kuweka mbele maslahi ya Africa na kuachana na mabeberu.
  6. Z

    Miji inayokuwa kwa kasi na fursa za kiuchumi

    Mioungoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kwa sasa ni mji wa Dodoma. Mji huu unafursa mbalimbali za uwekezaji na biashara. Wanasiasa na watalaam wanatakiwa kuzitangaza fursa zilizopo Dodoma ili wananchi waweze kuchangamkia hizo fursa. Kwa sasa naona wanasiasa wako kimya mno.
  7. Z

    Waangalizi wa kimataifa katika chaguzi zetu wwnakosea kusema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki.

    Nimefuatilia chaguzi za Tanzania kwa vipindi vya chaguzi awamu nne mfululizo, nilichogundua taarifa za wanaoteuliwa kimataifa kuja kuangalia namna chaguzi zilivyofanyika Tanzania wanaishia kuripoti chaguzi ulikuwa wa huru na haki. Swali langu, je wanatudanganya ama ndio ukweli. Kama wanatuhadaa...
  8. Z

    Tanzania ni mali ya watanzania tujivunie mambo yanayoweka alama ya utanzania wetu

    Mataifa ya wenzetu yalifanikiwa kwa kujali mambo yanayowaunganisha kama taifa na kuyatilia mkazo. Mambo ya maendeleo yatakayofanya taifa lao kuwa na maendeleo yaliungwa mkono na kuendelezwa. Tufikie wakati tutambue mambo ya kitaifa yanayolenga kutatua changamoto za sasa na badae kwa taifa...
  9. Z

    Kwa maono ya Magufuli, taifa hili ndani ya miaka 10 tunaona mengi mzuri.

    Mheshimiwa rais John Pombe Magufuli anataka watanzania tufanye kazi kwa bidii, tujitume kufikia malengo ya maendeleo ubinafsi na kwa taifa pia. Anatamani watu wafanikiwe, walipe kodi, serikali ipate pesa za kuhudumia wananchi. Taifa lenye kiongozi mwenye maono ya mafanikio hujenga jamii...
  10. Z

    Tanzania katika Dira sahihi ya Maendeleo.

    Tanzania iko katika dira sahihi ya maendeleo. Tanzania inaendeshwa kwa dira ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025. Katika kufikia dira hiyo serikali inatekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya kisekta na ya kimtambuka. Mipango hiyo ni kama kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa viwanda...
  11. Z

    Mhe. Dr. Magufuli anaenda kuwa Rais wa mfano Afrika

    Kuna msemo usemao nyota njema huonekana mapema na siku iliyonjema huanza asubuhi. Hivi ndivyo unavyoweza kuona dira njema ya uongozi wa Magufuli wa Tanzania. Dr. Magufuli amejikita katika kujenga uchumi wa kujitegemea na kuhamasisha watu tufanye kazi kujiletea maendeleo. Huu ni uongozi...
  12. Z

    CHADEMA na mdororo wa utashi wa kisiasa

    Kwa hali ilivyo ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo hata tume ya uchaguzi iletwe na malaika toka mbinguni watasema si huru. Pili hata katiba itungwe na wao hiyo katiba itakuwa haifai inatakiwa kurekebishwa. Kama katiba ya chama haiaminiki na hubadilishwa kulinda maslahi ya mtu mmoja...
  13. Z

    CHADEMA ni fungu la kukosa, ndilo linaloleta vurugu katika taifa hili

    Kwa hali ilivyosasa; inadhihirisha zaili kuwa Tanzania haina vyama imara vya upinzani vyenye ajenda ya kudumu katika kuleta mageuzi yenye neema kwa taifa hili. Jamii ya Watanzania wengi walijenga imani kubwa kwa chadema katika uchaguzi wa 2015; lakini wengi kwa sasa wanajutia kuipa imani kubwa...
  14. Z

    Maslahi binafsi yasababisha vijana kupinga juhudi za Serikali ya awamu ya tano; na si demokrasia kama inavyosemwa.

    Hali ya mambo inavyoendelea inadhihirika kwamba jamaa wengi wanaopinga na kukebehi jitihada za awamu ya tano katika kuleta mageuzi ya mfumo uliozoeleka katika uendeshaji wa shughuli za serikali na utendaji wake umesababishwa na sababu za maslahi binafsi ya jamii fulani iliyokuwa inajinufaisha...
  15. Z

    Vinara wa kujenga hoja CHADEMA hawajengi tena hoja wamesusa

    Chama cha demokrasia na maendeleo kilijengwa kwa misingi ya kujenga vijana wenye uwezo wa kujenga hoja ambazo zilikuwa na tija kwa maslahi ya taifa hili. Kuna tetesi zinazoendelea mtaani kuwa wale vijana makini wa kujenga hoja ndani ya chadema wamesusa na wameamua kukaa kimya baada ya kuona...
  16. Z

    Kwa upepo wa siasa unavyoenda; vyama vya upinzani kupoteza majimbo ya Hai na Kinondoni

    Kwa hali ya kisiasa inayoendelea katika taifa la Tanzania; kuna asilimia zaidi ya 75 vyama vya upinzani vikapoteza majimbo ya chaguzi ndogo zinazoendelea. Sababu za msingi za zitakazosababisha vyama vya upinzani kushindwa katika chaguzi ndogo zinazotarajia kufanyika tarehe 17 Februari, 2017:-...
  17. Z

    Ni akili mbovu kufananisha CCM na Chadema

    Kuna wakati ukifuatilia mijadala ya vijana katika mitandao ya kijamii; utaona uwezo wetu wa kufanya uchambuzi wa kutosha ni mdogo katika siasa; uchumi na shughuli za kijamii. Imefikia wakati vijana kutaka kufananisha CCM na chadema bila kutambua mambo matano muhimu:- Vyama hivi viwili...
  18. Z

    Propaganda na ugandizi wa mbeba maono wa CHADEMA

    Katika kuendeleza propaganda za safari ya matumaini; mbeba maono wa CHADEMA katika uchaguzi wa 2015 alituaminisha watanzania kuwa tukapige kura ushindi tumwachie yeye. Kilichotokea akaangukia pua na kutuambia hatambui matokeo ila tuwe na subira. Subira imekuwa subiri. Katika ufunguzi wa kampeni...
  19. Z

    Chadema na mwenendo wa kuishi kwa matumaini.

    Chadema kama chama kikuu cha upinzani kimeonyesha udhaifu na upungufu mkubwa kiuongozi. Ni chama ambacho kimeshindwa kutatua changamoto za uongozi na kuleta porojo kila kukicha. Kuanzia ajenda za kununuliwa wanachama wao inaonyesha hiki chama ni kichanga sana katika siasa. Hivi kweli chama na...
  20. Z

    Fikra mfu za vijana katika mitandao ya kijamii dhidi ya utekelezaji wa majukumu ya Mawaziri, Wakuu wa mikoa na Wilaya

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii hususani katika hatua zinazochukuliwa na viongozi wa wizara pamoja na wakuu wa mikoa na wilaya. Vijana wengi huusisha kila jambo linalofanyika kama kiki za kisiasa badala ya kuja na analysis yakutosha kuhusiana maamuzi...
Back
Top Bottom