Kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe Robert Mugabe ni pigo kwa Afrika

Mugabe alipigania maslahi ya WaAfrica?, Mimi nafikiri hakujua alichokuwa anapigania. Leo hii Zimbabwe inalipa fidia wazungu waliochukuliwa mashamba yao. Tuwe makini sana na hawa wazee wetu tunaoona walikuwa wakipigania maslahi ya WaAfrica huku ukweli ni kwamba walikuwa wakipigania maslahi ya familia na marafiki zao kwa kivuli cha uzalendo kwa kuwapigania WaAfrica wenzao... Leo hii huyu mzee amefia Singapore alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu na sio kupata hayo matibabu akiwa Zimbabwe kwenye hospitali za Zimbabwe. Amekufa ameiacha Zimbabwe ikiwa taabani pengine labda kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloni kwa kushindwa kutawala vizuri kwa maslahi ya wengi na kujali maslahi binafsi na ya maveterani ili wamlinde aendelee kutawala milele na milele..
 
Mkuu,umeandika kama layman. Kupigania maslahi ya Afrika siyo kuachana na MABEBERU,bali kuwa na maamuzi ambayo ni win-win decisions. Mugabe alijifikiria yeye kuliko Wazimbabwe katika maamuzi yake. Hakupinga mabeberu kwa maslahi ya Taifa bali hofu ya kupoteza madaraka yake.
 
Ni kwa sababu wewe ni wa juzi tu ambae kwako wewe mzungu ndio kila kitu ndio maana hata Kina Lisu wapo ughaibuni wakifikiri mzungu atafanya lolote ili na wao waende ikulu
Mugabe alipigania maslahi ya WaAfrica?, Mimi nafikiri hakujua alichokuwa anapigania. Leo hii Zimbabwe inalipa fidia wazungu waliochukuliwa mashamba yao. Tuwe makini sana na hawa wazee wetu tunaoona walikuwa wakipigania maslahi ya WaAfrica huku ukweli ni kwamba walikuwa wakipigania maslahi ya familia na marafiki zao kwa kivuli cha uzalendo kwa kuwapigania WaAfrica wenzao... Leo hii huyu mzee amefia Singapore alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu na sio kupata hayo matibabu akiwa Zimbabwe kwenye hospitali za Zimbabwe. Amekufa ameiacha Zimbabwe ikiwa taabani pengine labda kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloni kwa kushindwa kutawala vizuri kwa maslahi ya wengi na kujali maslahi binafsi na ya maveterani ili wamlinde aendelee kutawala milele na milele..
 
Mugabe alipigania maslahi ya WaAfrica?, Mimi nafikiri hakujua alichokuwa anapigania. Leo hii Zimbabwe inalipa fidia wazungu waliochukuliwa mashamba yao. Tuwe makini sana na hawa wazee wetu tunaoona walikuwa wakipigania maslahi ya WaAfrica huku ukweli ni kwamba walikuwa wakipigania maslahi ya familia na marafiki zao kwa kivuli cha uzalendo kwa kuwapigania WaAfrica wenzao... Leo hii huyu mzee amefia Singapore alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu na sio kupata hayo matibabu akiwa Zimbabwe kwenye hospitali za Zimbabwe. Amekufa ameiacha Zimbabwe ikiwa taabani pengine labda kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloni kwa kushindwa kutawala vizuri kwa maslahi ya wengi na kujali maslahi binafsi na ya maveterani ili wamlinde aendelee kutawala milele na milele..
Mkuu Mugabe alipigania maslahi ya waafrika. Mugabe ni kariba ua viongozi wa kiafrika ambayo haipo tena, hakuweza kufanikisha ndoto zake sababu ya fitna za nchi za magharibi na ukosefu wa umoja thabiti miongoni mwa waafrika. Unaposema leo Zimbabwe inawalipa fidia wazungu je unafikiri mashamba hayo hao wazungu waliyapata wapi ilihali walitoka Ulaya bila mashamba?

Afrika ni bara lenye viongozi wasio na mshikamano thabiti na ndio maana viongozi wachache wazalendo kariba ya Mugabe na Nyerere wanaonekana hawakuwa wakijua wanachokipigania.
 
Kati ya viongozi wa bara la Africa waliopigania maslahi ya waafrika kwa ustawi wa bara la Africa Mugabe hatasahaulika. Viongozi wa sasa bara la Africa wajifunze kuweka mbele maslahi ya Africa na kuachana na mabeberu.

Mugabe alipigania Uhuru wa Zimbabwe kwa msaada wa Tanzania chini ya Mwalimu Nyerere(rip).
Tatizo la Mugabe ni kubadilika kutoka Mzalendo na kuwa Dickteta katili ambaye aliyumbisha Uchumi wa Zimbambwe mpaka leo hii Uchumi wa nchi uko arijojo.
Kama kuna Marais walioacha Legacy Africa ni Mwalimu Nyerere na Mzee Madiba tu the rest ni wababaishaji na wahuni walioingia madarakani na kujifanya wao ni wamiliki wa nchi hizo.
R.I.P. Dikteta Mugabe.
 
Kati ya viongozi wa bara la Africa waliopigania maslahi ya waafrika kwa ustawi wa bara la Africa Mugabe hatasahaulika. Viongozi wa sasa bara la Africa wajifunze kuweka mbele maslahi ya Africa na kuachana na mabeberu.
Maslahi yepi ya Afrika aliyopigania? Tupe mwanga kidogo
 
Mkuu,umeandika kama layman. Kupigania maslahi ya Afrika siyo kuachana na MABEBERU,bali kuwa na maamuzi ambayo ni win-win decisions. Mugabe alijifikiria yeye kuliko Wazimbabwe katika maamuzi yake. Hakupinga mabeberu kwa maslahi ya Taifa bali hofu ya kupoteza madaraka yake.

Mkuu uko sahihi kabisa, na hapa ndio WaAfrica wengi tunashindwa kung'amua.

Mugabe alipigania Urais wake na si Wazimbabwe, sidhani kama yeye na familia yake waliteseka kama ambavyo wazimbabwe walivyotesaka na utawala.
 
Na kweli kabisa hamna pigo lolote kwa dicteta kama mugabe kufariki alikuwa kiongozi wa ovyo kuliko unanyofikiri amewaacha wa Zimbabwe hoi ni yy na familia take pekee ndo waliokuwa wakiishi peponi na comred wa zanupf waliomhakikishia kubaki madarakani mwisho wa siku akataka kumrisisha mkewe urais ndipo macomred walipomgeuka na kumchagua mnangangwa, uchumi wa Zimbabwe upo hii sijui itachukua miaka mingapi kurudisha uliokuwa kabla ya upuuzi wake wa nationalising mashamba ya wazungu na hii style namuona mtu fulani anaiiga mwenyezi mungu atusaidie asije kutufanya wa Zimbabwe bure
 
Mkuu Mugabe alipigania maslahi ya waafrika. Mugabe ni kariba ua viongozi wa kiafrika ambayo haipo tena, hakuweza kufanikisha ndoto zake sababu ya fitna za nchi za magharibi na ukosefu wa umoja thabiti miongoni mwa waafrika. Unaposema leo Zimbabwe inawalipa fidia wazungu je unafikiri mashamba hayo hao wazungu waliyapata wapi ilihali walitoka Ulaya bila mashamba?

Afrika ni bara lenye viongozi wasio na mshikamano thabiti na ndio maana viongozi wachache wazalendo kariba ya Mugabe na Nyerere wanaonekana hawakuwa wakijua wanachokipigania.
Kizazi hiki kitawakaribisha wakoloni ili watawale tena. Safari hii tena kwa vifijo na nderemo.
 
Mkuu Mugabe alipigania maslahi ya waafrika. Mugabe ni kariba ua viongozi wa kiafrika ambayo haipo tena, hakuweza kufanikisha ndoto zake sababu ya fitna za nchi za magharibi na ukosefu wa umoja thabiti miongoni mwa waafrika. Unaposema leo Zimbabwe inawalipa fidia wazungu je unafikiri mashamba hayo hao wazungu waliyapata wapi ilihali walitoka Ulaya bila mashamba?

Afrika ni bara lenye viongozi wasio na mshikamano thabiti na ndio maana viongozi wachache wazalendo kariba ya Mugabe na Nyerere wanaonekana hawakuwa wakijua wanachokipigania.

Mkuu hii excuse ya fitina za Wazungu hutumiwa sana na hawa wazee wetu hasa pale wanaposhindwa. Hakuna Mwafrica aliyekuwa na dhamira ya dhati kuijenga Africa kivitendo hakuna kilichoshindikana au kikwazo chochote zaidi ya wao wenyewe kushindw na kurushia Wazungu mpira, Muamarr Ghadafi aliijenga Libya ikawa zaidi ya baadhi ya nchi ulaya mpaka pale naye alipowaingilia Wazungu kwenye mambo yao ndio mambo yakabadirika..

Angalia wapigania uhuru wa South Africa baada ya kupata uhuru wanachokifanya pale SA, yuko wapi Thabo Mbeki na Mwenzie Zuma wote walikuwa marais lakini wameishia kwenye tuhuma za Rushwa. SA ishukuru bado Kaburu waliwaacha kwenye uzarishaji thanks to Mandela kwa haya maono lakini wangebaki hao wanaoitwa the so called Wazalendo au wapigania uhuru SA ingekuwa taabani kama nchi nyingine za Africa..

Indians, Brazilians, Australians, Koreans, Hongkong, Taiwanese, Japanese, Malysians, Indonesia, Singapore, Mexico etc hawa wote wametawaliwa na Wazungu lakini leo hii huwezi kusikia excuse za hovyhovyo zaidi ya wao kufanya kazi kwa bidii na kujenga mataifa yao bila vinyongo vya the so called Wakoloni..

Madini na maliasili tulizonazo Africa hata huko ulaya na America sehemu nyingi zipo mfano Chile, Australia, Canada, USA, Saudia nk madini yapo mengi sana lakini wameweza kuchimba na kuyatumia wenyewe kwa manufaa yao mpaka sasa wako mbali sana, Africa tumeshindwa kutumia akili na watu wetu waliopata elimu wameshindwa mpaka sasa kutumia elimu yao kuleta maendeleo baadala yake tunalalamikia Wazungu...
 
Back
Top Bottom