Waangalizi wa kimataifa katika chaguzi zetu wwnakosea kusema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki.

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
403
211
Nimefuatilia chaguzi za Tanzania kwa vipindi vya chaguzi awamu nne mfululizo, nilichogundua taarifa za wanaoteuliwa kimataifa kuja kuangalia namna chaguzi zilivyofanyika Tanzania wanaishia kuripoti chaguzi ulikuwa wa huru na haki. Swali langu, je wanatudanganya ama ndio ukweli. Kama wanatuhadaa, wanafanya hivyo kwa maslahi ya nani? Naombeni wenye majibu watueleze.
 
Back
Top Bottom