Chadema na mwenendo wa kuishi kwa matumaini.

Zee la kitaa

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
403
211
Chadema kama chama kikuu cha upinzani kimeonyesha udhaifu na upungufu mkubwa kiuongozi. Ni chama ambacho kimeshindwa kutatua changamoto za uongozi na kuleta porojo kila kukicha.
Kuanzia ajenda za kununuliwa wanachama wao inaonyesha hiki chama ni kichanga sana katika siasa. Hivi kweli chama na viongozi wa chama kikuu cha upinzani katika taifa kinasimama na kusema eti wanachama wake wananunuliwa huku wale wanaotoka vyama vingine kuingia chadema wakiitwa mashujaa. Huu upuuzi gani; halafu chama kinajinadi kuwa chama cha demokrasia. Kwanza ni aibu kwa chama kushindwa kusimamia viongozi wake hadi wakanunuliwa; pili ni aibu kufika hadharani kusema wanachama wako kununuliwa kwa porojo za kuungaunga bila Evidence. Chadema wameshindwa kusimamia demokrasia na uwazi katika chama chao wamebaki na ramri na kuitana majina. Hiki chama kinaendelea kupoteza imani kwa wananchi na aibu kubwa itakuwa kipigo cha mbwa mwitu katika chaguzi za marudio zinazoendelea.
Naomba kuwasilisha.
 
wewe na rais wa kikundi chenu huko ccm acheni siasa za kishamba miaka 54 bado mnaendesha siasa za mwka 47 na bado mnasema eti chadema wameshindwa

mmeshindwa kila kitu mpaka mnanunua na kutekana kuua hizi mbinu zoote mkikwama mtwambie mtwambie mlikuwa mnaganya hivi kwa sababu zipi.
 
Ukikua na kukomaa katika siasa utaacha utasimamia ukweli na kuacha porojo ambazo zilipendwa.
 
Mleta mada uko poa ukweli ni mchungu kumeza. Viongozi wananunuliwa kila siku alafu unaonge hoja nyepesi eti wananunuliwa?
Kadi ya Cdm 2013's ilinunuliwa kwa kugombaniwa hadi tsh. 3500 je leo mtu anaweza kununua kwa sh ngapi? alafu jadili kununuliwa.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani kimeonyesha udhaifu na upungufu mkubwa kiuongozi. Ni chama ambacho kimeshindwa kutatua changamoto za uongozi na kuleta porojo kila kukicha.
Kuanzia ajenda za kununuliwa wanachama wao inaonyesha hiki chama ni kichanga sana katika siasa. Hivi kweli chama na viongozi wa chama kikuu cha upinzani katika taifa kinasimama na kusema eti wanachama wake wananunuliwa huku wale wanaotoka vyama vingine kuingia chadema wakiitwa mashujaa. Huu upuuzi gani; halafu chama kinajinadi kuwa chama cha demokrasia. Kwanza ni aibu kwa chama kushindwa kusimamia viongozi wake hadi wakanunuliwa; pili ni aibu kufika hadharani kusema wanachama wako kununuliwa kwa porojo za kuungaunga bila Evidence. Chadema wameshindwa kusimamia demokrasia na uwazi katika chama chao wamebaki na ramri na kuitana majina. Hiki chama kinaendelea kupoteza imani kwa wananchi na aibu kubwa itakuwa kipigo cha mbwa mwitu katika chaguzi za marudio zinazoendelea.
Naomba kuwasilisha.

Kamuulize Mugabe na Grace Mugabe.Leo aliyeapisbwa anafunguliwa kesi ya mauaji wakati wa utawala wa Mugabe.

Uovu utaulipia hata ukiwa kaburini
 
Back
Top Bottom