Search results

  1. norbit

    Weka sentensi

  2. norbit

    Weka neno

  3. norbit

    Sasa ni wakati wa kuwaburuza marais mahakamani

    Kwa mujibu wa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Hamad Masoud anasema kisheria Rais wa Zanzibar hana immunity wakati akishatakiwa katika Mahakama za Tanganyika na Rais wa Tanzania hana immunity atakaposhitakiwa kwenye Mahakama za Zanzibar. kwa maana hio sasa ni wakati muafaka wa...
  4. norbit

    Sexit

  5. norbit

    Usajili wa vyama vya siasa

    Mimi nahisi kuwe na sheria kama chama cha siasa hakikupata kiti hata kimoja ktk ngazi zote kwa vipindi 2 mfululizo vya uchaguzi basi viwe vimejifuta automatic ktk usajili wa vyama vya siasa.
  6. norbit

    Timu ya taifa ya Zanzibar (N'debwedo) yafungiwa maisha

    CANNAVARO, CHOLLO, SELEMBE, AGGREY MORRIS NA MCHA VIALLI WAFUNGIWA KUCHEZA POPOTE DUNIANI NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ni miongoni mwa wachezaji 16, waliofungiwa kwa muda usiojulikana kucheza soka popote duniani na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), ambacho pia kimeivunja rasmi timu...
  7. norbit

    kumbe sheikh farid na yeye chadema!!

    sheikh farid akiwasili mahakamani
  8. norbit

    VIDEO: JM Kikwete ndani ya BBC Swahili Tv

    Wakuu nahisi kwa hili tusaidiane mawazo
  9. norbit

    Waziri wa Miundombinu (Zanzibar) ajiuzulu

    Waziri wa miundombinu na mawasiliano (Zanzibar) Hamad Masoud Hamad (CUF) amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya Mv Skagit. Nafasi yake imerithiwa Mhe. Rashid Seif Suleiman (Ziwani, CUF) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad amejiuzulu wadhifa wake leo jioni...
  10. norbit

    Video: Mkutano Dr Nchimbi, IGP na Masheikh

    Video:Mkutano Dr Nchimbi,IGP na Masheikh | Mzalendo.nethttp://www.mzalendo.net/habari/videomkutano-dr-nchimbiigp-na-masheikhh
  11. norbit

    Tunataka kumuona JMK

    Deleted
  12. norbit

    Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Wakuu mambo yanazidi kunoga, Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari wote tunaoipenda Zanzibar yetu adhimu, kwamba baada ya kuwasilisha barua kwa katibu mkuu Umoja wa Mataifa kupitia ofisi ya UN Zanzibar tarehe 10/11/2011 . Kwamba kwa nia inayoendelea kudhihiri kwa wazanzibari dhidi ya suala...
  13. norbit

    Ghana refuses to grant gays' rights despite aid threat

    Wakuu nimekutana na hili tamko ktk bbc website, naona JK kimya au yeye mambo poa tu muhimu kidogodogo kiingie Ghana's President John Atta Mills has rejected the UK's threat to cut aid if he refuses to legalise homosexuality. Mr Atta Mills said the UK could not impose its values on Ghana...
  14. norbit

    Mambo ya NAPE

    NAPE:Kikao kijacho CCM kuja na maamuzi mazito. - YouTube!
  15. norbit

    Jamani, muheshmiwa huyo anarusha roho

    Rais Kikwete katika soko la Hisa la NASDAQ, New York - YouTube
  16. norbit

    Mheshimiwa JK UN speech

    President Jakaya Kikwete addresses the 66th UN General Assembly - YouTube
  17. norbit

    CUF yataka serikali tatu

    Wateule wa Rais wathibitishwe na Bunge Baraza lisiwe na mawaziri zaidi ya 15 Vyama viungane siku 21 kabla kampeni kwisha Rais aunde tume huru kwa ushauri wa wadau Chama cha Wananchi (CUF), kimeweka hadharani mambo yaliyomo kwenye rasimu ya mapendekezo yake ya Katiba mpya; mojawapo likiwa ni...
  18. norbit

    Election 2010

    Kama ungelikua ni mwenyekiti wa chama chochote cha upinzani na unadai kama una wawakilisha au unapigania haki za wanyonge (walalahoi) walio wengi tanzania, na chama chako kikafanikiwa kupata asilimia kubwa 40% katika kambi ya upinzani, na ccm kama kawaida ikaongoza kwa kama 55%. na wakakutaka...
Back
Top Bottom