norbit
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 839
- 702
Kwa mujibu wa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Hamad Masoud anasema kisheria Rais wa Zanzibar hana immunity wakati akishatakiwa katika Mahakama za Tanganyika na Rais wa Tanzania hana immunity atakaposhitakiwa kwenye Mahakama za Zanzibar.
kwa maana hio sasa ni wakati muafaka wa kuwashataki Mkapa.
Kikwete na Magufuli.
kwa maana hio sasa ni wakati muafaka wa kuwashataki Mkapa.
Kikwete na Magufuli.